Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Habari za Jumapili wanandugu, Niende kwenye swali hapo juu. Miaka ya nyuma ama takribani miaka kumi imepita sasa, alikuwepo msanii wa nyimbo za injili Beatrice Muhone.Alikuwa na nyimbo nzuri...
3 Reactions
76 Replies
26K Views
Wakuu, Watu tuache unafiki na ushabiki kwenye jambo hili. Zuchu kaharibu maadili gani kwenye shoo yake ya Zanzibar, ametukana tusi gani? Kipande alichoimba alisema hata ".... hata mumpe mku..."...
10 Reactions
139 Replies
11K Views
Kusema ukweli Msanii wa Bongo Fleva ambaye leo Tar 5 Machi 2024 amefungiwa kujiahughulisha na kazi za Sanaa ktk Nchi ya Zanzibar na viunga vyake amekoswea sana. Ndani ya Kisiwa cha Zanzibar Rais...
14 Reactions
166 Replies
13K Views
Msanii wa Filamu Bongo,Ruth Suka 'Mainda', akiwa Hospitali na mmoja wa wauguzi wa hospitali hiyo ambayo jina lake hakutaka kulitaja mara moja. SOMA UJUMBE ALIOUANDIKA KWA MKONO WAKE HAPO...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
  • Poll Poll
Haya wapenzi wa Movies kali, Kura yako inaenda wapi hapa?
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Seun anikulapo kuti made the claim in reaction to a viral Ye's video where Ye says "We (Africans ) are not black, we're Indian". Seun went further 'all the rich blacks hate Africa, not just this...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Beyonce ka release album mpya, katika nyimbo zake kaongelea kuhusu cheating partner, kuna mstari kasema eti kisingizio dada ana "good hair", Anaehusika kajistukia kaanza ku tweet na sasa anakiona...
0 Reactions
93 Replies
13K Views
His thumb doomed him, Bob Marley tried to defeat cancer his own way and treated it as if it was a cold. Marley's final stage started in 1977, he went to the doctor for an injury on his toe and...
2 Reactions
2 Replies
909 Views
Mkali wa kipindi cha radio cha Planet Bongo na mkali wa kipindi cha TV cha Friday Night Live "Dullah Planet" wa kampuni ya utangazaji ya East Africa Radio & TV, siku ya leo ametangaza kuaga Rasmi...
28 Reactions
122 Replies
17K Views
Aliimba Dua la Kuku, aliimba huko pamoja records.. I have a story with him. Anybody.. p'se..
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Ulimwengu wa Filamubza Nigeria 'Nollywood' umempoteza nyota wao wa filamu hasa za Vichekesho, John Okafor maarufu kwa jina la Mr Ibu (62) chanzo kikitajwa ni kupata Mshtuko wa Moyo ikiwa ni baada...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
He died after fighting leg amputation. Mwigizaji wa Nigeria, John Okafor maarufu kama Mr Ibu (62) amefariki dunia leo Machi 2, 2024 wakati akiendelea kupatiwa matibabu hospitalini. Kulingana...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari wanaburudani, nimepokea taarifa za kusikitisha za msiba wa Producer Geof Master muda huu. Naambiwa alikua kalazwa Ocean road. Mara ya mwisho kuonana nae mitaa ya Tegeta alikuwa na uvimbe...
14 Reactions
57 Replies
8K Views
Anaitwa Bruce Africa.. Nimeusikia wimbo wake hapa. Ukaniamsha usingizini.. fasta nikasema. Nimshazam.. Wimbo wake huu My love ni mkali. Sasa nikajiuliza mbona ha hit ana ana ngoma kadhaa . Kweli...
10 Reactions
57 Replies
4K Views
Kwa wale watumiaji wa mtandao pendwa wa X, nadhani mtakuwa mashahidi. Kwenye misiba hii ya taifa nimemuona sana. Pia kwenye habari za kigogo ama Malkia, watu humtumia sana kwenye replies. Ni nani...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Wayne is a loyal Lakers fan, a superstar went a little overboard with his comment on ANTHONY DAVIS last season. A head of the 2023 postseason, Antony Davis had a tough time recovering from foot...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau huku mtaani kuna mkanganyiko kati ya hawa wadada wawili. Wanafanana swag, presentation, look na hata usasa. Na ngoma zao kiukweli wote ni kali. Sasa naleta kwenu THINKERS amueni ugomvi...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari zenu wapenzi na wafuatilia muziki wa Tanzania na mashabiki kwa ujumla. Hivi lebo ya WCB mbona kama imemtelekeza msanii wake (Queen darleen)? Awali alikuwa akifanya nao kazi na bila shaka...
2 Reactions
8 Replies
843 Views
Je ! Ni Management zao.. Ni Fedha.. Ni kutotoa hongo ktk Media Industry!? Mawazo yako mengi sana. Najua nawe una mawazo yako.. Kwa Mfano. Benson ni nini kilimfanya asiendelee kuwa msaniii mkali...
1 Reactions
12 Replies
983 Views
Back
Top Bottom