Yuko wapi msanii Dullayo?

 
Dullayo,

Ana hits kama,
Twende na mimi,
Mida ya kazi na nyingine kibao,

Pombe na unga vilimpeleka vibaya kiasi cha kupotea kwenye ramani ya muziki,hadi kufikia kushindia mihogo ya miatano.

Mara ya mwisho nilimuona Tabata kimanga akiwa rafu na aliyekata tamaa ,maisha ya wasanii ya siri nzito sana
Daaah
 
Kuna siku tulikua nae pale ukonga mombasa kwenye bar flani hivi nikaona anakunywa double kick balaa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom