Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

wakati wa mapokezi ya taifa stars waziri mmoja kwa furaha alisema kuwa atahakikisha anapata upenyo wowote mpaka aende ivory coast kuona mashindano ya kutafuta mabingwa nyumbani.hii haijakaa sawa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Waheshima, ndugu wana jukwaa wa jamiiforums naomba msaada kwenu. "Kuna taarifa zimezagaa kuwa JK ana mke wa pili aliyemuao wakati wa kampeni 2005. isitoshe mke huyo ni Muajemi (inarahisishwa kuwa...
0 Reactions
47 Replies
14K Views
  • Closed
Binafsi navutiwa sana na huyu dada/mama kwa jinsi anavyojituma katika shughuli zake hasa katika kampuni ya BenchMark Production ambayo naweza nikasema ndiyo kampuni bora zaidi kwa uzalishaji wa...
0 Reactions
28 Replies
16K Views
Madonna agrees divorce settlement with Guy Ritchie for at least £50 million ($75 million), singer's spokeswoman says. Source:CNN
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rais JK siku ya Jumanne alimtunukia Bw. Reginald Mengi pamoja na watu wengine Nishani mbalimbali kama inavyojieleza katika picha. Source: Guardian of 11th December 2008
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Inasemekana Aisha Madinda Mbegu ameanza kusumbuliwa tena na ule ungonjwa wa kuvimba mwili (miguu). Je huu ni ungonjwa wa aina gani.... maana kuna kipindi aliwahi kusema ameshapima NGOMA na yupo...
0 Reactions
46 Replies
13K Views
  • Closed
Anyone take a guess?
0 Reactions
132 Replies
21K Views
MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Samwel Chitalilo ameingia katika mkasa mpya baada ya kudaiwa kumshambulia Mabula Matulanya, ambaye ni mlinzi wa ghati la ofisi ya kivuko cha Nyakaliro Kome...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Mwanamuziki mkongwe wa miondoko ya muziki wa dansi na reggae, Ras Nas aka Nasibu, yuko tayari kufanya vitu vyake katika jiji la Trondheim, Norway, usiku wa Ijumaa tarehe 12 Desemba. Ukumbi unaitwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
huyu ni yule hakimu aliewaduwaza mawaziri wetu sijui tuite wastaafu maana walinyofolewa kutok uongozini!!!pongezi hakimu mwakenja kwa kuheshimu sheria ,nimeona kamam mmoja wa wadau wa sheria ni...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu, Kuna watoto wanatoka Uingereza wanataka kupiga picha na akina Masanja wa iliyokuwa "Ze Comedy". Anayeweza kuwasaidia hawa watoto jinsi ya kuwafikia "Ze Comedy", naomba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
waungwana wenzangu mlioko huko danganyika,naombeni ufafanuzi tafadhali..hizi tetesi za kufa kwa liumba wa BOT ni kweli? Iam interested in facts not fiction
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Hi JF fan; Kumekuwa na tetesi za kizushi about citizenship ya Obama. Lakini smears claiming Barack Obama doesn’t have a birth certificate aren’t actually about that piece of paper — they’re...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Rathergate II: Certification of Live Birth a clear forgery -------------------------------------------------------------------------------- Posted: November 25, 2008 1:00 am Eastern © 2008...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna movie fulani ambayo Rashid Kawawa ali act kama Mhogo Mchungu enzi hizo.Ningependa sana kumuona akiwa katika action wakati huo.Nasikia alikuwa hodari sana na alifurahisha watu wengi. Katika...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Usaili TFF, Wambura, Malinzi wang'aka Na Sophia Ashery USAILI kwa wanamichezo wanaowania nafasi za uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ulifanyika Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
bado mwenzie Tibaijuka mana haikatazwi kuweka Afro lakini bibie lle afro lake lilikuwa linakuwa out of control halafu naona ana shine kweli kweli hapa: BTW hii ilikuwa juzi kwenye hafla ya...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
hivi jamani kuna yeyote mwenye tetesi au fununu ya ukweli kuhusu kesi ya Juma Nature? atusaidie kidogo?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nimejitutumua wenyewe ninunulie ndugu na jamaa nguo za christmas, nakuta site haipo online, nimetuma email naona kimya, vp tena kipanya?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Msanii wa muziki wa kizazi kipya "Sir" Juma Nature anakabiliwa na tuhuma za "kubaka" baada ya kukaa kwa siku kadhaa na binti wa chini ya amiaka 18.Endapo mashtaka yatasimama akaonekana na hatia...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…