Rashid Mfaume Kawawa kama Mhogo Mchungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rashid Mfaume Kawawa kama Mhogo Mchungu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Alnadaby, Nov 28, 2008.

 1. Alnadaby

  Alnadaby JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2008
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 507
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kuna movie fulani ambayo Rashid Kawawa ali act kama Mhogo Mchungu enzi hizo.Ningependa sana kumuona akiwa katika action wakati huo.Nasikia alikuwa hodari sana na alifurahisha watu wengi.

  Katika kumbukumbu ya watu mashuhuri kwenye movie industry,Kawawa ni mmojawapo na naomba wenye mkanda huo wafanye mipango ya kuutayarisha upya ili kumbukumbu za huyu Simba wa Vita zisiishie kwenye siasa tu.Alikuwa Msanii mzuri na hiyo ni moja ya sifa zake ambazo naomba ziwekwe kwenye rekodi.
   
 2. Mzuzu

  Mzuzu JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2008
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Wazo zuri sana nafikiri sio wa Simba huyu tu ila hata ile mingine ya kina Yombayomba inavuta hisia sana na kumbukumbu kama ikitengenezwa na kutunzwa vizuri. Inaonyesha industry hii ilipoanzia na ilipo sasa
   
 3. Z

  Zanaki JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2008
  Joined: Sep 1, 2006
  Messages: 544
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sijui kama itakuwa rahisi kupata hio movie,kwa sababu nakumbuka ilipigwa marufuku kuonyeshwa.Ali act kama kijana aliyetoka bara,maisha yakawa magumu Dizim akawa mwizi
   
Loading...