What happened to kpwear.com?

kkiwango

Senior Member
Aug 27, 2007
173
14
Leo nimejitutumua wenyewe ninunulie ndugu na jamaa nguo za christmas, nakuta site haipo online, nimetuma email naona kimya, vp tena kipanya?
 
sasa kwa mtindo huu biashara itafanikiwa? ngoja nitafute kwingine.
 
Kp mwenyewe ni disigner au muuza nguo tu,anatoa nguo china anaweka lebo ya kipanya kamaliza.
 
Lile duka si alipewa mkopo na mtu wa clouds aanzishe ? Na si amelivuruga clouds yeye na fina wake ?
 
impact ya maneno yaliyoandikwa kule zeutamu naona imemwelemea

mtoto wa kiislam alikuwa anatangaza pombo mwezi wa ramadani
halafu anashangaa mambo yake hayaendi
 
Alitangaza pombe au alikua anakunywa pombe kivyake wabongo wakaamua kumwanika?
 
Back
Top Bottom