On Mbowe: Man, Family Life and Politics

Status
Not open for further replies.
Ni Mkristo safi Mhesh Freeman hasa siku kama ya leo mida ya jioni hiki ndicho kitabu anachokisoma mara kwa mara
bible3.gif
 
Anasoma kijarida alichokiasisi cha CHECHE ZA FIKRA

Well, waarabu wa Pemba! Nikisema utoa chembe ya ushahidi utasema ulikuwa ni mzaha lakini lengo lako ni kutaka kudanganya watu kwa kusema kitu ambacho hauna chembe ya ushahidi isipokuwa kufanya kile ambacho ninatuhumiwa mimi kufanya. Well, join the line.
 
Ni Mkristo safi Mhesh Freeman hasa siku kama ya leo mida ya jioni hiki ndicho kitabu anachokisoma mara kwa mara
bible3.gif

Mkuu Yo Yo, Heshma mbele;

Hivi wote wanaosomaga hiki kitabu: - [media]http://truereligiondebate.files.wordpress.com/2008/03/bible3.gif[/media] huwa ni 'Wakristo' safi?

Stay blessed.
 
Kwamba sasa ana wabunge 4 wa kuchaguliwa,
Na kwamba 2010 watapungua hadi kuwa 1 na baadae kuwa 0 kama TLP/Mrema.
 
Kwamba sasa ana wabunge 4 wa kuchaguliwa,
Na kwamba 2010 watapungua hadi kuwa 1 na baadae kuwa 0 kama TLP/Mrema.
heri 4 wenye akili kuliko malukuki ambao hawako independent.
heri 4 walioingia kihalali kuliko malukuki walioingia kwa rushwa
heri 4 wanaovutwa na maendeleo ya nchi kuliko malukuki waliovutiwa na kulindwa ktk biashara zao.

heri 0 wanaobaki na hadhi yao na uchungu wa nchi yao kuliko wote wasio na nyuma wala mbele walafi na wanaojilimbikia mali bila kujua wakifa watakaorithi watazitumia bila uchungu wowote

heri mimi nisiye na chama nalilia nchi yangu na uhuru wangu kuliko wenye chama wasiothubutu kutoa mawazo yao ila kupaka rangi hewa na kulinda ardhi isiyo na kitu.

CHAGUA JEMA BADO HAUJACHELEWA
 
So you wanted to know if Mbowe is Literate?

Calnde, I know he is literate, most of us are, I was wondering if he "reads". Not asking about local dailys here. The man wants to be head of state, I'm curious what kind of reading he gets up to. How is Arusha?
 
Well, waarabu wa Pemba! Nikisema utoa chembe ya ushahidi utasema ulikuwa ni mzaha lakini lengo lako ni kutaka kudanganya watu kwa kusema kitu ambacho hauna chembe ya ushahidi isipokuwa kufanya kile ambacho ninatuhumiwa mimi kufanya. Well, join the line.

Kuna mtu kashikwa pabaya hapa....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom