Baba wa kijana huyu "bingwa wa dunia" ajitokeze. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba wa kijana huyu "bingwa wa dunia" ajitokeze.

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Leornado, May 4, 2011.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwa wapenzi wa Figure skating bila shaka mtakuwa mnampata kijana Robin Szolkowy - Wikipedia, the free encyclopedia, baba yake inasemekana ni mtanzania ila hawajawahi kuonana. Wazee wa JF kama kuna aliyewahi kutembelea Ujerumani miaka ya 1978 na "kutoka" na nesi basi ajue kaacha mtoto ambaye kwa sasa anatisha katika mchezo wa Figure skating. Binafsi kama mtanzania huwa najisikia faraja sana kwa jinsi anavyoumudu mchezo huu bila kulewa sifa za kuwa bingwa wa dunia.

  "Wazee" kazi kwenu kuvuta kumbukumbu.

  [​IMG]  [​IMG]
   
 2. zombi

  zombi JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 529
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 80
  Baba yake yupo wameshaonana mwaka 2008 vienna, alikuwa ni mwanafunzi medical doctor na mama yake nurse wakati wamekutana na mama yake miaka hiyo, alitokomea na kujitokeza mwaka 2008

   
 3. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Bahati yake kampata baba'ke. wengi wengine hutafuta mpaka hukata tamaa. na wengine hukutana na baba zao na kujuta kwa nini wamepoteza muda wote huu kukutana na such an 'idiot' man! anyway la msingi kamjua baba yake, atulie kuendelea na maisha yake
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  May 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Msizae na kuacha watoto wenu jamani..
  tunazaa lakini hatujui tunazaa ninii
  usikute unaemwacha ndio atakae kuwa President wako baadaye...
   
Loading...