Binti wa Rostam anasoma shule ada US$ 200000 kwa mwaka

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
attachment.php

Binti wa Rostam Aziz
Ama kweli ukila na kipofu usimshike mkono, fisadi namba moja nchini kwa kweli anafaida sana hela zetu walala hoi maana binti yake anasoma shule moja binafsi na ghali sana huko Swiss amabapo ada yake kwa mwaka ni dola 200,000 na yupo O-level hebu fikiria kwa miaka minne RA atatumi kama dola 1m ghama jumla ya gharama ya kusomesha binti yake huyo. Shule yenyewe inaitwa Le Rosey ni miongoni mwa shule ghali duniani na hata ukiangali kwenye mtandao wa Forbes shule ghali sana kwa amerika wanalipa around 50,000-80,000US$ kwa mwaka sasa hiii ya Swiss ni mara tatu yake kweli fedha ya ufisadi ni tamu sana....
attachment.php

Binti mwingine wa Rostam anayesoma South Africa Ramla Rostam Aziz...

Soma attached PDF hapo for Academic fees and other associated costs in Swiss Franc
 

Attachments

  • Keazeh Rostam Aziz.jpg
    Keazeh Rostam Aziz.jpg
    4.8 KB · Views: 1,440
  • Le Rosel Fees 2011-2012.pdf
    193.6 KB · Views: 334
  • Ramla Rostam.jpg
    Ramla Rostam.jpg
    60.5 KB · Views: 1,132
nami sielewi ishu ni nini pia .....kwani hawa ni (Rostam na Binti yake) Watanzania eti!?

Ishu ilitakiwa kuwa uizi wa ela, sio anatumiaje..maana kama ukishindwa kudili na kutendo cha uizi..kitendo cha kutumia hiyo ela kinakuwa irrelevant.
 
attachment.php

Binti wa Rostam Aziz

Ama kweli ukila na kipofu usimshike mkono, fisadi namba moja nchini kwa kweli anafaida sana hela zetu walala hoi maana binti yake anasoma shule moja binafsi na ghali sana huko Swiss amabapo ada yake kwa mwaka ni dola 200,000 na yupo O-level hebu fikiria kwa miaka minne RA atatumi kama dola 1m ghama jumla ya gharama ya kusomesha binti yake huyo. Shule yenyewe inaitwa Lo Rosey ni miongoni mwa shule ghali duniani na hata ukiangali kwenye mtandao wa Forbes shule ghali sana kwa amerika wanalipa around 50,000-80,000US$ kwa mwaka sasa hiii ya Swiss ni mara tatu yake kweli fedha ya ufisadi ni tamu sana....


Uchizi tu....:crazy:......Ukimleta shule za kibongo nina hakika atapata ziro (0)..............:ranger:
 
Ndo hapo muone kuwa kujivua magamba hakuna ishu kama ra ameachiwa aendelee kutanua na fedha alizoiba ole wake siku watu watakapoamua kujitwalia mali za amafisadi wenyewe sipati picha ila wa kulaumiwa watakuwa watawala wetu kwa uzuzu wao!
 
Huo niwivu tu,nawewe kama unahela kamsomeshe wakwako hata kwa dola mil10 hakuna atakae kuzuia,kama huna mpeleke mwanao shule za kata kila ndege anaruka kwa ubawa wake.
 
Sijajua huyo mtoto atafanya kazi wapi ila najua kwa tanzania No!, Hiyo hela anayoinvest itamchukua Karne kurudisha,
Asante sana Mdau
 
Kwani mtu kutumia hela zake kumsomesha mwanaye kuna shida gani?
 
Back
Top Bottom