How I imagine people in JF

Binti Maringo

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
2,804
87
You know here in jf kila mtu anatumia anonymous names..so its hard to know people this is how I imagine people walivyo in really life excluding my cupcake since I know him lol!...

Masanilo—hahaha shem wangu ni na kuimagine upo kama chris rock kutokana na mambo yako…fun indeed lol!

Yo yo –Fun guy kama Dave chappele ila inaelekea ni mfupi hivi around 5”5..una kama afro hivi..alafu mgomvi.

Kuhani—this dude man namfananisha na Jesse Jackson sr ila urefu wake kama jesse jr…mtu ambaye hapendi kushindwa very serious hapendi utani ni yeye na news na anaonekana anapenda sana kusoma magazeti miwani ipo chini ya puwa….mnokoooo.

Mwanakijiji---yaani ni kazee Fulani hivi kafupi kama eyebrows nyingi alafu zina mvu,yaani namfananisha mwanakijiji the way alivyo ufupi wake kama Raisi mstaafu Alhaji mwinyi hivyohivyo…mpaka anavyoongea

YNIM—Huyo hana tofauti na Martin Lawrence,character and image.

Penny—Sijajua kama Penny ni demu au men…ila I feel like ni demu huyu mdada anaonekana ni mtaratibu sana she is around 5”4caramel complexion ,big brown eyes,long hair..na anaongea taratibu sana and a good listener.

Balantata---My friend Balantata namfananisha na Morgan freeman…hivyohivyo siyo mtu anayependa kuongea sana..ni mtaratibu.

YE---Huyu ni namfananisha na Yule kocha wa Bears…anaonekana ni mfupi around 5”4 alafu ana nywele kafuga na ndevu…ana kitambi kidogo anafu mbishi sana.

To be continued….
 
....na kelly01 anafananaje?
 
You're so sweet shem wangu wa shoka!!

Masanilo-hahaha shem wangu ni na kuimagine upo kama chris rock kutokana na mambo yako…fun indeed lol!
 
You know here in jf kila mtu anatumia anonymous names..so its hard to know people this is how I imagine people walivyo in really life excluding my cupcake since I know him lol!...

Masanilo—hahaha shem wangu ni na kuimagine upo kama chris rock kutokana na mambo yako…fun indeed lol!

Yo yo –Fun guy kama Dave chappele ila inaelekea ni mfupi hivi around 5”5..una kama afro hivi..alafu mgomvi.

Kuhani—this dude man namfananisha na Jesse Jackson sr ila urefu wake kama jesse jr…mtu ambaye hapendi kushindwa very serious hapendi utani ni yeye na news na anaonekana anapenda sana kusoma magazeti miwani ipo chini ya puwa….mnokoooo.

Mwanakijiji---yaani ni kazee Fulani hivi kafupi kama eyebrows nyingi alafu zina mvu,yaani namfananisha mwanakijiji the way alivyo ufupi wake kama Raisi mstaafu Alhaji mwinyi hivyohivyo…mpaka anavyoongea

YNIM—Huyo hana tofauti na Martin Lawrence,character and image.

Penny—Sijajua kama Penny ni demu au men…ila I feel like ni demu huyu mdada anaonekana ni mtaratibu sana she is around 5”4caramel complexion ,big brown eyes,long hair..na anaongea taratibu sana and a good listener.

Balantata---My friend Balantata namfananisha na Morgan freeman…hivyohivyo siyo mtu anayependa kuongea sana..ni mtaratibu.

YE---Huyu ni namfananisha na Yule kocha wa Bears…anaonekana ni mfupi around 5”4 alafu ana nywele kafuga na ndevu…ana kitambi kidogo anafu mbishi sana.

To be continued….

YoYo anaonekana kama mtu wa totoz kwa sana....Dizaini ya Amatus Liyumba...Lol
 
Shy---Namfananisha na Ali Kiba usiku lakini.

Kisura-Namfananisha na dada mmoja hivi bongo Yule model sasa hivi ana model SA…Happynessy magesa.

Madilu wa madilu---hahaha this dude maan sijui kwa nini namfananisha na Mandela sijui kutokana na kale kapicha kake ka utotoni?...

GQ – Huyu mkaka namfananisha na Mr T wa kibongo.

Molex3-Namfananisha na Willy Smith hivyo hivyo…very smart dude indeed hapendi makuu mkaka wa watu very simple.

Belinda jacob namfananisha na jessica Alba this girl anaonekana ni very mpole hata anavyoongea...

Exaud – This guy ana sound kama Yule mtuma salamu kwenye radio Tanzania Exaud Nko.

Invisble-Huyu mkaka urefu wake kama Michuzi ila yeye kidogo anaonekana yupo lighter…na anaongea kwa mapause.
 
Kellyo1

Kuna mtu mhimu amekosekana kwenye list ...please do the neccessary asije jining'niza!
 
Duuh nimeipenda hii thread,ni kitu ambacho huwa nakireflect nikiwa nasoma posts za wana JF.
Mbona hujasema FMES anaonekanaje?
 
Back
Top Bottom