Ze Komedi wapata pigo...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
nimezipata kama tetesi

--------------
UPDATE:

Sound man wa kikundi cha Ze Komedi kapata ajali na kufariki hii leo
 
ok... ila hii haraka haraka ya kuanzisha thread huwa inaboa sometimes... ni bora hata ungesema nani kasema au pia ni seki yupi

tuna zaidi ya seki mia hapa bongo, seki can be sekidia, sekione, sekirasa, sekilasa, seki etc.
 
mkuu premium
ana haki ya kuuliza tatizo moja wana jf ukiwa pm wanahaisi unawataka ndio maana hii biashara wanaogopa bora waje na thread wapate majibu......m nadhan awe mvumilivu atapata jawabu asikimbilie kujivbu maoni ya watu watamvua nguo
 
pdidy, hii ni habari nzito sana na inategemea ukaribu wako au wake au wangu na seki, habari inapokuja uchi hivi bila hata khanga inashtua sana, japo basi angesema amepata wapi tetesi

Hivi sasa nikaja na kusema naskia Pdidy ndio JK, cha kwanza watu watasema source, hata kama ni tetesi

I am disappointed
 
Wasiwasi wangu tu yule jamaa asije akawa ameongeza mAGOROFAi kwa vifo kama hivi??
 
pdidy - umeshaenda loliondo kwa babu?

Back to the thread - seki ndiye alikuwa mtaalamu wa sauti?

ngoja nirudi msalani yaani hizi rip zimenimaliza kabisa naogopa kuripiwa humu bado niko hai
 
guys, aliyekufa sio seki, ni soundman wa tbc na hao comedy!!!

Mods wange-do the needful tu
 
Hahaha Pdidy watu wanamu RIP wakati bado yuko hai

MKUU FINEST UKIONA MWENZIO ANANYILEWA TIA MAJI..MMH HIZI AJALI KAMA KWELI MBONA ZITATUMALIZA ..UBAYA WALIKUWA MIKONI MWA MWA MWA dddaaadaaaaadaaaaaahHHHHH
RIP SEKI

AISEE YAANI NAUMIA ZAIDII KUNA MASHORI ALIKUWA AKIWATUNGUA PALE KIMARA MWISHO SIJUI KAMA ALIBAHATIKA KUWAACHIA HATA KAMIMBA CHA BAMBIKIZA TUJARIBU KUKALEA SEKI TULIOBAKI
SO SAD HANDSOME SEKI AUKO NASI KIMWILI TWAAMINI KIROHO UKO PAMOJA NASI ......YAANI NIKISOMAGA RIP MWILI WASISIMKA MAANA UJUI UKO KUKOJE NA AKUNA ALIERUDI KUTABALISHA
 
Back
Top Bottom