R.I.P Osama bin la den. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

R.I.P Osama bin la den.

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Reporter, May 3, 2011.

 1. R

  Reporter Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika dunia bila ugaid ni sawa na bunge bila upinzani, hii ni kutokana na sera za wamagaribi wanaojiona wao ndio miungu watu ktk hii dunia, hata kama kauliwa kiongozi wetu Osama bin ladeni naamini huyu ndiye shujaa wa kigaid atakayeweza kukumbukwa kupita hata michael jackson. Ugaid wa osama umeleta changamoto za kiupinzani dhidi ya sera za kimagharibi kuhusu ulimwengu. Na sasa si mwisho bali ni mwanzo wa chipukizi jipya la kigaidi kwa lengo la kuiweka dunia sawa. ''Kapumzike salama Osama maana kama ni kazi umeifanya vema na kuuliwa kwako si mwisho wa vuguvugu la kigaid dunian'' R.I.P Osama, amen.
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  "Osama bin la deni" Huyu ndiyo nani? au ulitaka kumaanisha Osama bin laden? jibu ndiyo ili namimi nipate umaarufu wa kufanikiwa kumkamata mfuasi wake.
   
 3. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Rest in hell OBL!
   
Loading...