Laana nyingine ni za kujitakia!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Muslim Actress Reportedly Receives Threats for Playboy Pictorial
Published April 27, 2011
| FoxNews.com
sila640.jpg

Sila Sahin, a 25-year-old Turkish German living in Berlin, has been branded a "*****" and a "Western slut" after appearing topless on the cover of the magazine's May 2011 issue, The Sun reports.

A Muslim actress has reportedly caused outrage, receiving threats for posing nude in the German edition of Playboy.

Sahin's photographs, according to posts on Islamic websites, have shamed "Muslim womanhood" and depict her "prostituting herself for money," the newspaper reports.

"She needs to be very careful," one post read, according to the Sun.
"She must pay," another read.

The Islamic Community of Germany has called for a boycott of Sihan, the star of the German soap "Good Times, Bad Times."

Sahin's parents reacted with "horror" to the 12-page pictorial and her mother has since cut off all contact with her, the Sun reports.

Soma zaidi hapa!
 
Aisee haya mambo haya... Huyo dada inabidia awe makini hapo tayari wanamtafuta by all means. what bothers me however is if she is a known muslim why did she do it? kwamba ali underestimate the outrage?
 
kashajipatia hela zake na umaarufu sasa atafuata the big apple huko new york ndo maisha ya kizazi hiki. all aiming to get money, fame then to big apple Hollywood.
 
kama kuna kitu huwa kinanishangaza ni huu mtazamo wa kuufanya uislamu kuwa suala la kijumuiya!hebu aliye muislamu safi awe wa kwanza kumtupia jiwe huyu dada!anachofanya hakina tofauti na kinachofanywa na wengine wazinzi,wanywa pombe na wabaka watoto wa madrasa!kupanga ni kuchagua,muacheni ana wazazi na ndugu wa karibu hao ndo watamshauri.
 
point...............
 
King'asti umenikuna.....th! th! th!
 
kama kuna kitu huwa kinanishangaza ni huu mtazamo wa kuufanya uislamu kuwa suala la kijumuiya!hebu aliye muislamu safi awe wa kwanza kumtupia jiwe huyu dada!anachofanya hakina tofauti na kinachofanywa na wengine wazinzi,wanywa pombe na wabaka watoto wa madrasa!kupanga ni kuchagua,muacheni ana wazazi na ndugu wa karibu hao ndo watamshauri.

Laiti kama kila tunachofanya gizani kingewekwa wazi (ikiwemo mawazo mabaya, achilia mbali matendo) sidhani kama huyu dada angerushiwa lawama za namna hiyo. Dini ni imani mtu binafsi yeye na Mungu wake, wala mtu hataenda peponi kwa sababu ya dini yake, ila matendo yake!
 
Muslim Actress Reportedly Receives Threats for Playboy Pictorial
Published April 27, 2011
| FoxNews.com
sila640.jpg

Sila Sahin, a 25-yeaold Turkish German living in Berlin, has been branded a "*****" and a "Western slut" after appearing topless on the cover of the magazine's May 2011 issue, The Sun reports.

A Muslim actress has reportedly caused outrage, receiving threats for posing nude in the German edition of Playboy.

Sahin's photographs, according to posts on Islamic websites, have shamed "Muslim womanhood" and depict her "prostituting herself for money," the newspaper reports.

"She needs to be very careful," one post read, according to the Sun.
"She must pay," another read.

The Islamic Community of Germany has called for a boycott of Sihan, the star of the German soap "Good Times, Bad Times."

Sahin's parents reacted with "horror" to the 12-page pictorial and her mother has since cut off all contact with her, the Sun reports.

Soma zaidi hapa!

Duuuuuuu......
 
kama kuna kitu huwa kinanishangaza ni huu mtazamo wa kuufanya uislamu kuwa suala la kijumuiya!hebu aliye muislamu safi awe wa kwanza kumtupia jiwe huyu dada!anachofanya hakina tofauti na kinachofanywa na wengine wazinzi,wanywa pombe na wabaka watoto wa madrasa!kupanga ni kuchagua,muacheni ana wazazi na ndugu wa karibu hao ndo watamshauri.

auchiiiiiii.
hii imenikamata
well said
 
kama kuna kitu huwa kinanishangaza ni huu mtazamo wa kuufanya uislamu kuwa suala la kijumuiya!hebu aliye muislamu safi awe wa kwanza kumtupia jiwe huyu dada!anachofanya hakina tofauti na kinachofanywa na wengine wazinzi,wanywa pombe na wabaka watoto wa madrasa!kupanga ni kuchagua,muacheni ana wazazi na ndugu wa karibu hao ndo watamshauri.

You must be giniasi!
 
Back
Top Bottom