Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hivi shalobalo ni mafasionist au kuna lingine linajificha?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Just thinking aloud...... Mimi ni msanii kioo cha jamiii! Nimekumbuka hiyo clip na kuifananisha na Celebrites wa Bongo. Most of these celebrities wame relax, wanaona kama vile wamefika mwisho...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sister xxxx you are free to come and copy it for your blog
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msanii wa kizazi kipya Afande Sele ambae kwa sasa anavuma mtaani kwa jina la Yuda Eskariot,ameongelea kuhusu ishu yake ya kupafom pale Leaderz,akiojiwa Mlimani Radio alisema. Namnukuu..."...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
During any holidaytrip wih children,the most important thing to bear in mind is their safety. Ensure your children are aware of any possible danger but don’t upset their fun-making. As the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
niaje wana jamii? natumaini wakuu wote mpo salama. kubwa langu ni msaada wa kumpata yule dada alieigiza kwenye tangazo la ishi la vunja ukimya zungumza na mwenzio. kuna siku nilipNda nae daladala...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
*WAPIGWA PA, WAPO CHINI YA ULINZI ARUSHA KESHO KUSAFIRISHWA KWENDA CONGO. MWANAMUZIKI mahiri wa miondoko ya dansi aliyepata kujizolea sika kem kem nchini wakati akiwa na bendi ya FM miaka ya...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
kesho asubuhi katika kipindi cha break fast Joseph Kusaga atakuwepo akijibu hoja na kwa wenye maswali ya aina yeyote ametoa namba ya simu 0786863716 hii ni kwa sms pamoja na e mail...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rama dee na adili kwenye facebook wameandika kuwa kusaga na kinje wamekaa kikao na kujadili jinsi ya kupunguza makali vinega na vinega wamerekodi mazungumzo yao acheni hayo mambo mjue sasa ishu si...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
kuna habari zinasema kuwa KINJEKITILE NGOMBALE MWIRU ameingia upande wa clouds kuitetea na kupanga vikao na clouds kuhusiana na VINEGA inasemekana kuwa kuna vikao vya siri vinafanywa kati ya...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
  • Closed
Haya ni maneno aliyo yaandika kwenye wall yake ya Facebook. Shy-Rose Bhanji wewe unayejiita Eng Mayeye Mussa hivi wewe ni mwanaume kweli? mwanaume gani wewe kila kukicha unanifuatilia bila...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi mlio karibu na huyu dogo mtujuze ratiba zake, anasoma saa ngapi? La tusaidiane kumsaidia asijeishia kuwa kama wakina Bluu, na wengine walokimbia shule coz naona matangazo ya epiq nation...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Wakuu kama mtakuwa ni wafatiliaji wazuri jumamosi ya tarehe 26 yaani juzi kwa upande wa burudani kulikuwa na matamasha mawili Jijini Dar ambayo yalibeba hisia na mitazamo tofauti, kulikuwa na...
4 Reactions
64 Replies
11K Views
Jamani mbona sijawahi kumsikia Joti akitajwa kuwa na msichana au mke? Huwa namuona akiigiza kama mdada, na pia nasikia watoto wa mjini walisha wahi kumla kiboga. Jamani Joti, si bora utafute...
0 Reactions
78 Replies
17K Views
Muziki wa Hip-Hop ya hapa kwetu na Bongo Flava kwa pamoja vina historia kidogo. Inawezekana kabisa kuna baadhi ya waimbaji wa sasa ambao wamezaliwa wakaikuta Bongo Flava ishaanza. Wapo wasanii...
14 Reactions
41 Replies
12K Views
Long t sijamsikia huyu shori au watu walishaweka ndani?
2 Reactions
45 Replies
8K Views
Taarifa nilizozipata zinasema yule mpiga picha wa Daily News (ukipenda Daily Noise) Muhidin Issa Michuzi, ameteuliwa kuwa mwandishi wa habari msaidizi wa Rais. Haijulikani kama Premi Kibanga...
3 Reactions
89 Replies
13K Views
Tutaendelea kukumbuka katika maisha yetu tuliyobakiza hapa duniani. wewe umetangulia sisi tunakufuata nyuma yako tutake tusitake. Mungu akulaze mahali pema peponi kinega wetu MR.EBBO. Tutaendeleza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilikuwa napenda kutoa ushauri wa bule kwa muasisi wa muziki wa kizazi kipya SUGU. Kwa kuwa lile tamasha lako ulifanikiwa hebu fanya mpango wa haraka wa kuhuzulia mazishi ya mr EBO na 2-uandae...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom