Clouds acheni vitisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clouds acheni vitisho

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kalila, Dec 6, 2011.

 1. K

  Kalila JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rama dee na adili kwenye facebook wameandika kuwa kusaga na kinje wamekaa kikao na kujadili jinsi ya kupunguza makali vinega na vinega wamerekodi mazungumzo yao acheni hayo mambo mjue sasa ishu si ya vinega hii movement ipo kwa raia sasa na dunia yote inajua hamuwezi kuzuia mvua mmenyonya sana wasanii vinega sio kama misukule.sasa watapambana na UMA. hawa clouds sijui wanapata nguvu wapi
  Soggy doggy alitekwa juzi na kutishiwa maisha yake na pia gari yake kuharibiwa sijui nani anafanya haya mambo
   
 2. K

  Klily Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama wanaushaidi wameleke kwenye vyombo vya usalama kwa hatua zaidi
   
 3. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  clouds are just stupid ass mofos'
   
 4. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Aagrrrrrr
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  kumbe janja yao ni kudhulumu jasho la wasanii.?
  Kusaga do something, heshima ya redio yako inashuka taratibu
   
 6. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Vyombo vya usalama navyo vimeoza ni sawa na kupeleka kesi ya kuku kwa mwewe
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  kama wao ndo waandazi wa besidei za rais unategemea polisi...................................
   
 8. K

  Kalila JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kusaga anajivunjia heshima hajui kama kuna madj wake na watangazaji wake nao ni vinega
   
 9. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Clouds imejaa mashoga, wote wanacameruniwa wawe, vingega mpango mzima!
   
 10. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Duh, nimetoka kapa hapa sijaelewa kitu kabisa!
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hii kali utawala huu wa baba riz ukitoka wengi wataumia sana.
   
 12. K

  Klily Member

  #12
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo ufreemason wenyewe huo....lol
   
 13. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Taja wawili kabla sijakubandika jina la mnafiki, kuwadi mpenda sifa, usiye na haya wala kuona vibaya.
   
 14. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,225
  Likes Received: 8,298
  Trophy Points: 280
  hao unaowaita vyombo vya usalama nao pia ni mamluki.
   
 15. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,225
  Likes Received: 8,298
  Trophy Points: 280
  tuu tuu twee-kijamaika zaidi.
   
 16. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #16
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwani cluds ni rejio ya wapi mbn inatajwa sana si huku nanjilinji hatuijui kabisa ingekuwa tbc sawa hako karejio mshenzi msikape promo bana hawasikiki nji nzima so sio dili kabisa!!!
   
 17. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  And you call yourself a Great thinker..! Matusi huwa yanaharibu maana ya madai yoyote yale
   
 18. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #18
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,783
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 19. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #19
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,783
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  [​IMG]
   
 20. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #20
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280

  Sasa UNABISHA NINI??? Clouds kuna mshoga na its true mi nnao wajua na nimethibitisha ni zaidi ya 4 sasa UNABISHA NINI??? umenikera kweli kujifanya we mpole na una busara sana kumbe hujui kitu..mmezoea kubisha tu hata msio yajua,..shame!

   
Loading...