Michuzi ateuliwa mwandishi msaidizi wa Rais

bibikuku

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
832
495
Taarifa nilizozipata zinasema yule mpiga picha wa Daily News (ukipenda Daily Noise) Muhidin Issa Michuzi, ameteuliwa kuwa mwandishi wa habari msaidizi wa Rais.

Haijulikani kama Premi Kibanga atabaki kuwa mwandishi msaidizi wa rais pia ama atapanda na kuwa mwandishi mkuu wa rais maana hadi sasa hakuna mwandishi mkuu wa rais aliyeteuliwa rasmi.

Salva yeye ni mkurugenzi wa mawasiliano ingawa mara nyingi hufanya kazi kama mwandishi mkuu wa rais. USINIULIZE SOURCE TAFADHALI
!
 
Taarifa nilizozipata zinasema yule mpiga picha wa Daily News (ukipenda Daily Noise) Muhidin Issa Michuzi, ameteuliwa kuwa mwandishi wa habari msaidizi wa Rais. Haijulikani kama Premi Kibanga atabaki kuwa mwandishi msaidizi wa rais pia ama atapanda na kuwa mwandishi mkuu wa rais maana hadi sasa hakuna mwandishi mkuu wa rais aliyeteuliwa rasmi. Salva yeye ni mkurugenzi wa mawasiliano ingawa mara nyingi hufanya kazi kama mwandishi mkuu wa rais. USINIULIZE SOURCE TAFADHALI!

Michuzi ni usalama wa Taifa na tena humpelekea mkulu habari nyingi za mitaani, naona sasa ameamua kumkaribisha ubavuni kwake kabisa

Taarifa nilizozipata zinasema yule mpiga picha wa Daily News (ukipenda Daily Noise) Muhidin Issa Michuzi, ameteuliwa kuwa mwandishi wa habari msaidizi wa Rais. Haijulikani kama Premi Kibanga atabaki kuwa mwandishi msaidizi wa rais pia ama atapanda na kuwa mwandishi mkuu wa rais maana hadi sasa hakuna mwandishi mkuu wa rais aliyeteuliwa rasmi. Salva yeye ni mkurugenzi wa mawasiliano ingawa mara nyingi hufanya kazi kama mwandishi mkuu wa rais. USINIULIZE SOURCE TAFADHALI!

Hii imekaaje? Mpinga picha ameteuliwa kuwa mwandishi wa habari?
 
safi sana kimepanda,hayo ni malipo ya uadilifu na uaminifu,piga kazi mkuu na itumie nafasi ipasavyo
 
Siwezi kushangaa sababu safari nyingi za JK za Ulaya na Marekani uwa anasafiri na Michuzi
 
From the above Basics "I reserve my comments" kwa sasa... Hopefully utakuja baadae kutuhakikishia habari.

Thanks for understanding AshaDii, hakuna chembe ya uongo hapa take it from me!
 
After all amekuwa akiipa nguvu sana CCM kwa picha na habari ktk Blogu yake.....Juhudi zake zimemlipa teh teh teh
 
hii habari ni ngumu kuiamini,sidhani kama ni za ukweli.
 
Back
Top Bottom