Dogo janja anasoma saa ngapi?

Mmang'ati

Senior Member
Jan 8, 2011
184
49
Wanajamvi mlio karibu na huyu dogo mtujuze ratiba zake, anasoma saa ngapi? La tusaidiane kumsaidia asijeishia kuwa kama wakina Bluu, na wengine walokimbia shule coz naona matangazo ya epiq nation mikoani dogo anahusika, inakuwaje pale Makongo?

Madee na Tiptop mnawajibika.
 
Kwani si watu wanasoma ili wapate pesa waishi vizuri sasa mtu ukikatizia denge upatikanaji wa pesa shule ya nini? mambo ya mahomuweki mara adhabu sijui umechelewa mara mitihani nani anataka? (Joke.....)

Wasanii wetu wengi wa Kibongo hawajui maisha kwa kweli, na bahati mbaya sana wanashindwa kuona mifano iliyowatangulia. Ni wanamuziki wachache sana waliodumu kwenye fani kwa zaidi ya miaka 6 au 7, wengi huporomoka haraka sana sijui wanakumbwa na nini tu, na ikifikia hapo ndio hukumbuka shule.

Na wanajidanganya sana pale wanapopata shilingi laki 2 au 3 wanaona wamepata pesa nyingi kweli, hizi ni pesa ndogo sana na tena kwa matumizi yao! Lakini nadhani kwao kuwa na jina kubwa kwenye magazeti (especially ya udaku) na kwenye TV ni zaidi ya kuwa na elimu yoyote
 
ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA ILA PESA NI UFUNGUO MALAYA UNAFUNGUA POPOTE ........ Tafakari chukua hatua
 
mwacheni atengeneze pesa atasoma uzeeni kwani nini tatizo leo tuko nae hapa arusha na watu wanazidi kujaa inaonekana patafunika...
 
Dogo kula fedha kama ipo elimu ya kibongo ukiendekeza utakufa unarudia mtihani oh!
 
mwacheni atengeneze pesa atasoma uzeeni kwani nini tatizo leo tuko nae hapa arusha na watu wanazidi kujaa inaonekana patafunika...

Ngoja kwanza nile kitu cha Olkokola hapa Mianzi kwa ludaa then midamida ntashuka pande za ground
 
Elimu ni muhimu lakini pia sio mbaya kufata kipaji chako,kuna wengi tumewaona wametoka kwa ajili ya kipaji,kuna prof yeyote bongo anaweza akamkamata kwa hela justin bieber ambaye hata 4m 4 hana?
 
Wanajamvi mliokaribu na huyu dogo mtujuze ratiba zake anasoma saa ngapi? La tusaidiane kumsaidia acjeishia kuwa km waakina bluu,na wengine walokimbia shule coz naona matangazo ya epiq nation mikoani dogo anahusika inakuwaje pale makongo. Madee na tiptop mnawajibika.

Mimi namshauri huyu dogo aache shule tu..maana for sure ataakiendelea atapata 0 mtihani wake wa mwisho.....
 
mkuu mwache ajidai dogo kwani siku hizi below la kipungu halipo kwa hiyo mwacheni na yeye apite sekondari :director: :lol:
 
Watoto kama hawa wanachezea shule wakiamini muziki ndio mkombozi wao,alafu inatokea mijitu inawadhulumu na kuchezea maisha yao..ila simlaumu sana kwani umri wake bado mdogo kuchanganua mambo.ata meneja wake(Madee) aliishia form two.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom