NAKAAYA ...yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAKAAYA ...yuko wapi?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Saint Ivuga, Dec 1, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,436
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  Long t sijamsikia huyu shori au watu walishaweka ndani?
  35722_442920901279_629301279_6303946_7714033_n.jpg 267213_10150333344126280_629301279_9877055_6974991_n.jpg
   
 2. WAFU FM

  WAFU FM Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ataenda wapi yupo tu amesanda magambaa si yalimrubuni akakimbia magwanda yuko hoi tu naona katoa ka single kake kamebuma
   
 3. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Ako Uswahilini Anajipanga, baada ya magamba kumchakachua last year!

   
 4. WAFU FM

  WAFU FM Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tamaa mbaya sana huyu mtoto angekaa zake magwanda angekua mbali sana, angekuwa mh wa vit maalum huyu ye akaonadili kupewa kadi na baba riz hapa r chuga ndo kwisha habari yake kama baba tunda
   
 5. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Anajipanga tena baada ya magamba kumchakachua. Aliwahi kuandika, kwenye twitter kuwa amechoshwa na jinsi system inavyoendeshwa. So she will be back with a surprise.
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,558
  Trophy Points: 280
  tamaa mbaya.
   
 7. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sijui ni njaa au tamaa kilichompeleka magamba?
   
 8. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Juzi kati alikua anatuma e mail kwenye google groups ya Arushamailing kuomba kazi ya u manager.
  Atakua kapinda.
   
 9. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  AMedai ameachana na siasa kuangalia maisha yake... binafsi nampongeza kwa hilo siasa za bongo maumivu ya kichwa...
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Aliondoka kwa kelele kwenda kwa mafisadi hata aliko sitaki kujua. Huyu Celeb wapi? Bongo hii kuna Celeb?
   
 11. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280

  umeneja wa nini? ama kuuza nyapu boogaloo
  na masaburi pub pale mianzini? memiss sana Arusha dah!
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Huyu Tangia apigwe chini na M1 wa Dead Prez kwisha kabisa asikiki tena.
   
 13. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Kwa siasa ipi hiyo ambayo ameifanya zaidi ya kupanda jukwaani pale NMC na CDM na wiki iliyofuata at the same stage akapanda na CCM(mr politician) na kurudisha kadi ya CDM baada ya kuhongwa milioni tatu na mr politician ambaye yeye nakaaya mwenyewe alikua akimdis awali??

  [​IMG]
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Mr. Politician kamhonga kaumbuka hata arusha akija hakatizi viwanja kama awali kwa aibu ya kuhongwa milioni tatu na the same politican aliyemuimba.
  [​IMG]
   
 15. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Anasubiri 2015. Ila magamba hawana huruma, unatoa uroda halafu unatoswa ubunge!
   
 16. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Last time alikaririwa akisema ameamua kuachana na siasa kuwa imempotezea muda wake.....kwangu this was a stupid excuse kwasababu mtu halazimishwi kuingia katika siasa sasa inakupotezea vipi muda. huyu ni katika ya vijana ambao wanasukumwa na njaa zao kufanya maamuzi. Anayekupa chakula ndio anakuamulia cha kufanya
   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kweli kabisa mamndenyi:poa :poa (G:)
   
 18. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  yuko a town.
   
 19. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yuko UVCCM sasa
   
 20. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Anapuliza bange ya olikokola na kukazia na viroba chapa jogoo uwani kwao.
   
Loading...