C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,070
- 3,718
kuna habari zinasema kuwa KINJEKITILE NGOMBALE MWIRU ameingia upande wa clouds kuitetea na kupanga vikao na clouds kuhusiana na VINEGA
inasemekana kuwa kuna vikao vya siri vinafanywa kati ya KINJE NA KUSAGA jinsi ya kuiua vinega
haya yamesemwa na mmoja wa kundi la Vinega RAMA DEE kama alivyoandika katika ukurasa wake wa facebook
inasemekana kuwa kuna vikao vya siri vinafanywa kati ya KINJE NA KUSAGA jinsi ya kuiua vinega
haya yamesemwa na mmoja wa kundi la Vinega RAMA DEE kama alivyoandika katika ukurasa wake wa facebook
Kusaga Vinega tunazo sauti zenu za kikao cha Jana hahhahaa....Kinje plz naomba usiingie hapa nipagumu saana tunakuheshim bro Kama tulivyokuwa tuna muheshim Kusaga ila kajikanyaga Vinega tunalindwa na UMA msije mkajikanyaga(kwa ushauri)