figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,555
- 62,116
Tutaendelea kukumbuka katika maisha yetu tuliyobakiza hapa duniani. wewe umetangulia sisi tunakufuata nyuma yako tutake tusitake. Mungu akulaze mahali pema peponi kinega wetu MR.EBBO. Tutaendeleza harakati hadi Virus wote washike adabu. Mia