Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Barnaba akiwa kwenye usiku wa tunzo za kili. baaada ya kupewa tunzo aliiamua kushusha mistari ya mipasho kwa wale wanaosema Ruge anamwibia na nukuu" shukrani zangu kwa Ruge ulisemwa sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kachero huyo alisema kutokana na taarifa ambazo wanaendelea kuzipata, kuna uwezekano watu wengi zaidi wakahojiwa ili kujiridhisha kabla ya watuhumiwa kuanza kupandishwa kizimbani baada ya...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Jamani siku nyingi sijamuona Ray C akirindima? hivi yuko wapi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani magazeti ya udaku tumeshoka kuandika abali za kanumba sio ishu na ii ya leo yakusema kaonekana tabata mmezidi mwasheni watu bado wana majonzi alafu nyie mna andika uongo uo mjue kua watu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Hapa Tanzania ndani ya miaka 3 tumekumbwa na matatizo mbalimbali kama mafuliko huko Kirosa, mabomu Mbagara, mabomu Gongo la mboto na yote yakipoteza maisha ya Watanzania wenzetu, na pengine...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Msanii wa kuigiza ambae anakuja juu kwa skendo za kuacha watu midomo wazi ( Isabela a.k.a Vai wa ukweli) amefunguka kwa kusema yeye ni zaidi ya lulu na huwezi kumlinganisha na Mtoto mdogo...
0 Reactions
46 Replies
21K Views
Ndugu wanajf,msishangae kuona nmeandika kwenye jukwa la siasa,mim namin kwenye huzuni n lazima siasa na vingnevo 2vweje pemben,muigzaj wa kaole sana group anazikwa sasa kigogo-DAR ES SALAAM
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimefurahishwa na Hotuba ya Rais aliyoitoa jana wakati akiwaapisha Wajumbe wa TUME ya kukusanya maoni juu ya katiba ya Nchi, hii inaashiria kelele au hoja zinazoibuliwa na Wapinzani zina nguvu
0 Reactions
1 Replies
955 Views
Naangalia kipindi cha Mkasi hapa EATV,mtangazaji wake kauzu ile mbaya Salama J namuona analengwa na machozi baada ya kuguswa na masimulizi ya kusikitisha ya Msanii wa bongofleva Albino Flani..ndio...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Jamani wana JF poleni kwa kazi ya kutafuta DINARI, Nipo janvini kuomba kusaidiwa swala hili hivi ukifuta text kwenye simu inaenda wapi? Naomba maelezo ya kina! Asanteni!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
4 Reactions
170 Replies
37K Views
Wanajamvi......nimeumia sana juu ya msiba uliopita na nasikia mengi kuhusu huo msiba lakini hayatabadili kitu sasa hivi The great is gone jamani....sasa kwa hawa waliobaki nimethibitishiwa na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
nimevumilia nimechoka hiv ray na kanumba hamuoni au kuiga mifano ya filamu za nje kwa sababu utakuta STORY kanumba SCRIPT kanumba DIRECTOR kanumba EXECUTIVE PRODUCER kanumba hivi katika hali ya...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
habarini wakuu wa jamvi, pande za kinzana,pande za shahabiana ningali katika tathimini inayohitaji msaada wa kifikra huku nikipitia vyombo mbali mbali vya habari vilivyondani ya uwezo wangu juu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Za muda mrefu bwana mambo yanasemaje?Maisha yanasonga mbele vipi JB anaweza akakusumbua kwenye soko.Au utakomaa naye tehe tehe.Oh pole sana kwa msiba bwana nasikia mmefiwa.Ni hayo tu kaka wape...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kutokana na ambayo nimekua nikiyasoma humu kuna wakati nilianza kuhisi labda JK Si kipenzi cha watanzania wengi tena,hii ni kutokana na watu walio wengi humu kumuongelea vibaya,leo nimejiridhisha...
2 Reactions
85 Replies
8K Views
Sorry guys mnaofatilia video za kibongo kile kitito ambacho kipo kwenye video ya Dullayo ya Twende na mimi na mama bishanga ndio isabela mvuaji au ni kingine na kinaitwa nani?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu STAA anayemiliki mkwanja mrefu katika tasnia ya filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray', amemvaa ngwiji mwenzake Steven Charles Kanumba na kumchana kwa kitendo cha...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Baada ya kifo cha Kanumba..wasanii wa bongo movies wakiongozwa na Ray,cloud na steve nyerere,wameanza kupita kwenye vyombo vya habari kuchangisha fedha bila kusema zitatumikaje izo fedha...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Baada ya Miss Tanzania 2006 ambae pia ni bongo movie star Wema Sepetu kuzungumza kwenye XXL ya CLOUDS FM jana kwamba alichokifanya Diamond kukataa kuchukua pesa yake ni uswahili, Diamond nae...
0 Reactions
61 Replies
11K Views
Back
Top Bottom