Toka Morogoro mastar wawili wa muziki wa Bongo Flava wanatengeneza news siku yale, hawa ni Selemani Msindi, Afande Sele na Abbas Kinzasa 20%, ambapo juzi walizua tafrani kubwa mjini Morogoro...
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi East Africa Radio ambacho kinaendeshwa na Misago,alikuwa anafanya mahojiano na Msanii maaarufu kanda za kaskazini JCB,kuwa anaionaje hali ya Arusha na maswala...
Players, fans and others shows their suport for Bolton miedfielder, Fabrice Muamba who is still in critical condition at Chest Hospital due to cardiac arrest happened to him in this weekend's FA...
Afande Sele na msani mwenzake 20p% wamekamatwa jana na polisi mkoani morogoro jana na kufikishwa mahakamani leo kwa kosa la kufanya fujo na kuharibu mali.
Wanapo kwenda ni pabaya sababu kama ni mfatiliaji wa taarifa za habari,jana niliamua kuchungulia tbc1 na kukutana na habari inayohusu wao kuandaliwa mpambano j.pili. Sikuwa na tatizo na hilo bali...
Askari wa jeshi la polisi nchini wamempa kibano staa wa bongo freva, Abdul Sykes'Dully Sykes'.
Dully, alivuka mataa wakati askari wa usalama barabarani walikuwa wamezuia magari kupita ili kupisha...
Jamaa mshamba kweli. Anaulizwa na Diva kama ana girlfriend anajibu ooh maswala ya siasa yasichanganywe na siasa. Clouds wakaamua kumkatia simu. Yaani huyu jamaa anafikiri kila sehemu ni kuuza...
Kwa upande wake mgombea ubunge, Bw. Joshua Nassari, naye alimvaa Bw. Wassira kwa kauli yake ya kutaka wananchi wasimchague kwa kuwa hajaoa.
"Kwa kuwa wameniambia sijaoa, nitamuoa Halima Mdee...
The Legend Flora Mbasha and her husband Mr Emmanuel Mbasha as they visited VOA studio in Washington DC in USA
Boston, USA, Wednesday, April 4, 2012.
INTRODUCTION
It is now approaching a...
Waungwana na wakubwa zangu kwa heshima kubwa ninaomba nimrudishe huyu Mana kwenye majadiliano yetu ya kila siku, pengine wengi mmesikia mambo yake, wengine mmetetea tusimnyoshee mtumishi wa Mungu...
Mnamkumbuka huyu dada she came into limelight na hiyo bendi kipindi flani na mi binafsi nlikua namhsudu sana.
Sasa alidisappear kimya kimya na ghafla na hadi leo najiuliza bila majibu alienda...
Hivi huyu bidada miziki yake huwa inapigwa bongo?
Kwa habari zaidi kuhusu miziki yake na bio gonga chini...
ReverbNation
My take: huyu dada ni mwanamziki ambaye maybe hajapata producer ama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.