Isabela ambaye juzi alivua nguo zote hadharani atamba kuwa lulu michael hamuwezi " kimapenzi" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Isabela ambaye juzi alivua nguo zote hadharani atamba kuwa lulu michael hamuwezi " kimapenzi"

Discussion in 'Celebrities Forum' started by jozzb, Oct 6, 2011.

 1. j

  jozzb Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  [​IMG]


  Msanii wa kuigiza ambae anakuja juu kwa skendo za kuacha watu midomo wazi ( Isabela a.k.a Vai wa ukweli) amefunguka kwa kusema yeye ni zaidi ya lulu na huwezi kumlinganisha na Mtoto mdogo Elizabeth a.k.a Lulu,"am next level Lulu haniwezi hata kimapenzi niko juu.

  "Najua sana mapenzi kuliko kuigiza so najivunia kuwa na vipaji vingi kadri siku zinavyokuja ntaviweka hadharani" alitamba isabela.  WAZO LANGU:
  HIVI NI KWELI DADA ZETU MNATAFUTA UMAARUFU KA STAILI HII? MMMMH!!! SIJUI NTAMUOA NANI?!!!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,298
  Likes Received: 27,988
  Trophy Points: 280
  Jesus take the wheel!!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,279
  Likes Received: 14,519
  Trophy Points: 280
  whos running this gal?
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  poleni wote wasanii wa kibongo..
   
 5. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,189
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Crap crap crap crapppppppp upuuuzi mtupu
   
 6. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,032
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  hao ndiyo wasanii wetu wa kibongo.
   
 7. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mhh!! kazi kweli kweli.
   
 8. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jamani huu umaarufu nao ukiuendekeza matokeo yake unatembea uchi,sasa huyu mdada anachokitangaza hasa nini? anaongea pumbaaa! unajisifia kua hodari wamapenzi haya wape Marijali waone kama kweli halafu watatuambia usijisifu........
   
 9. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  duh! hii kali sasa ya mwaka .............mwenyewe ndio anaona sifaaaaaaaaaaa
   
 10. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,044
  Likes Received: 399
  Trophy Points: 180
  Wapuuzi Tu Hao Wote Wawili, Uchi Si Sifa Ni Aibu...
   
 11. j

  jozzb Member

  #11
  Oct 7, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  huu ni ushamba.sidhani kama mapenzi ni biashara. Hata kama sina akili lakini siwezi nikautupa moyo wangu jalalani
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,252
  Likes Received: 7,072
  Trophy Points: 280
  Does kuwa Msanii bongo means Ngono? kwani hakuna baraza la Sanaa? kwanini asipigwe BAN huyu? maana kwene mpira ukicheza rough unatolewa na hatua kali zinachukiliwa! Iweje hawa malaya wajifiche kwenye sanaa ya uigizaji ili kufanya umalaya wao? wanetu wajifunze nini? lakini utashangaa BASATA watakaa kimya tu!
   
 13. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wasanii wa kike wa tanzania vituko kila kukicha mara johari picha za utupu, huyu mpuuzi mwingine tena mapenzi hayana bingwa
   
 14. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,525
  Likes Received: 2,446
  Trophy Points: 280
  Umaarufu bongo hauji bila ya kuwa na skendo.
  Mungu umnusuru huyu dada.
   
 15. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,068
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Hv BASATA hakuna kamati ya maadili?mdharau mwiba...ipo cku watakuja fanya ngono hadharani ili wathibitishe umahiri wao wa kungonoka
   
 16. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mmmh! may be ni mapepo jamani!
   
 17. s

  sawabho JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,378
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Huo umaarufu anaoutafuta kwa njia hizo utampoteza haraka sana na atasahaulika. Ukiwa maarufu unatakiwa uulinde, uchunge unachoongea na unachofanya ili umaarufu wako uwe endelevu.
   
 18. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  mmh kweli ana vipaji vingi,hongera dada!!
   
 19. N

  Natalie Senior Member

  #19
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unafikiri kila unayemuona ana akili timamu, hicho kipaji chake akakipeleke kwa maporn star wa Nigeria, asitusumbue akili, yeye ni muigizaji wa kawaida au ni porn star, huo uchi wake akauonyeshe kwenye jarida la playboy, asituharibie jamii yetu ya Bongo, khaaa, polisi wako wapi, wamkamate bwana!
   
 20. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #20
  Oct 8, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Prostitution is the act or practice of providing sexual services to another person in return for payment. The person who receives payment for sexual services is called a prostitute and the person who receives such services is known by a multitude of terms, including johns. Prostitution is one of the branches of the sex industry. The legal status of prostitution varies from country to country, from being a punishable crime to a regulated profession. Estimates place the annual revenue generated from the global prostitution industry to be over $100 billion.[SUP][1][/SUP]

  Prostitution occurs in a variety of forms. Brothels are establishments specifically dedicated to prostitution. In escort prostitution, the act takes place at the customer's residence or hotel room (referred to as out-call), or at the escort's residence or in a hotel room rented for the occasion by the escort (called in-call). Another form is street prostitution. Sex tourism refers to travelling, typically from developed to under-developed nations, to engage in sexual activity with prostitutes. Today, human trafficking, described as the largest slave trade in history,[SUP][2][/SUP] is primarily for prostituting women and children.[SUP][3][/SUP]
   
Loading...