Wavaa magauni bila nguo za ndani......watoa rushwa kati elfu 10 mpaka 20 watolewe kwenye udaku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wavaa magauni bila nguo za ndani......watoa rushwa kati elfu 10 mpaka 20 watolewe kwenye udaku

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mirindimo, Apr 12, 2012.

 1. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Wanajamvi......nimeumia sana juu ya msiba uliopita na nasikia mengi kuhusu huo msiba lakini hayatabadili kitu sasa hivi The great is gone jamani....sasa kwa hawa waliobaki nimethibitishiwa na baadhi ya wasanii wa kike kua eti style mpya siku hizi ni kuvaa nguo za juu tu namaanisha sketi na bla ama gauni....

  huko ndani hua pako empty yaani bilia kufuli aka chu*******i nilihoji kwa nini lakini hawakua na sababu ya mhimu ya kuniconvice badala yake waliniconfuse.....hivi jamani huu utamaduni unatoka wapi hasa.....?

  Niliendelea kudodosa kua kwa nini wanaandikwa hivyo na magazeti pendwa mmoja kati yao akanithibitishia kua kuna mwandishi kama si kanjanja anaitwa MATESO huyu ni bingwa wa kuandika hizo habari na anahongwa elfu kumi mpaka ishirini ili atoe habari ya msanii huyo aliepejipeleka na wasanii hao mara nyingi huamini kua umaarufu hauji bila skendo......!

  Nilifikiria sana nikasema inakuaje hawa watu wanakosa hata akili kidogo ya kupambanua haya mambo na huyu mwaandishi hii ni njaa ama nini...? Wana jamvi nawasilisha hebu naomba maoni yenu.
  Mi napita :plane:
   
 2. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hata wewe hujavaa chupi
   
 3. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hivi neno chupi ni tusi? manake naona wengi wanaogopa kuliandika! utakuta mtu anaweka dash!!
   
 4. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lol. .
   
 5. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Mummoja wao huyu hapa.....tehe tehee tihiii utawajua tu na natafuta picha zenu nasikia zipo
   
 6. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Makubwa.....
   
 7. Type

  Type JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kwel si tusi, hawa wanaovaa hivyo wanalao jambo. Wanaringia pumzi walionayo ila mugu akiamua kuchukua jeur yao kwishineeeeiiiiii, wakavalie utupu kaburin tena wamhonge shetan
   
 8. j

  jadia Senior Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 150
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mh tumefikia huko kweli?
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Biashara matangazo,akipata mteja wanamaliza hapo hapo wanainua dela tu.
   
 10. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wanaita utandawazi siku hizi!
   
 11. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  masuala ya ventilation hayo maana joto nalo limezidi mno kutokana na mabadiliko ya tabia-nchi....
   
Loading...