Hivi mh.Komba wewe kufanya hivi mpaka CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mh.Komba wewe kufanya hivi mpaka CCM

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Eraldius, Apr 11, 2012.

 1. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 558
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Hapa Tanzania ndani ya miaka 3 tumekumbwa na matatizo mbalimbali kama mafuliko huko Kirosa, mabomu Mbagara, mabomu Gongo la mboto na yote yakipoteza maisha ya Watanzania wenzetu, na pengine tumeona msiba ulotukuta Watanzania wa msanii ambaye amekuwa akituwakilisha vyema kimataifa Marehemu Steven Charles Kanumba.

  Maoni yangu nikitaka tujue je?

  Huyu msanii ambaye mpaka sasa ni mwanasiasa hajui kwamba huu ni wakati ambao watanzania tunamtegemea kama alivyofanya wakati wa kifo cha Mwalimu J.k Nyerere na ambavyo anaendelea kukifanyia sanaa chama nikimaanisha kukiimbia. kupitia haya naomba tufahamishane kama uwezo wake ni kuimba nyimbo za siasa.

  Na mimi E.mwandishi wa Jf.
   
 2. M

  MTOAHOJA Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaomba amwimbie kanumba tena amshirikishe elizabeth michael aka lulu!
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,926
  Likes Received: 5,080
  Trophy Points: 280
  najuta kwa nini nimefungua hii thread
   
 4. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  ...me too!
   
 5. m

  mwanakashenye Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Komba anatajwa kuhusika... Ni kivipi wadau?
   
 6. mujusi

  mujusi JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 237
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yaache hapo hapo ndugu yangu. Dunia hii hadaa
   
 7. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hata mimi..najuuuta.. Kusoma hii sredi..
   
 8. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,372
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Komba komba komba kumbe wananchi wako wanateseka huku unamjengea kimwana L*l* nyumba na gari...tena miaka 18 or 17 tu???kweli kweli huyu si ni mjukuu wako kabisa
   
 9. C

  Chaaakoon Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  presha inapanda presha inashuka. Tehe tehe tehe. Mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio kalagabaho!
   
 10. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,866
  Likes Received: 3,138
  Trophy Points: 280
  Ng'ombe hazeeki maini...
   
 11. Lisa Rina

  Lisa Rina JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,398
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  Halina ata haya km ni kweli
   
 12. m

  mullay Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hv na lile tumbo hajionei aibu kulifunua ovyo ovyo?
   
 13. s

  shosti JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Lulu nae kaona mengi hahahaahahahahahha
  lile jimwili la komba mwe!
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Jaman lulu alikua anateseka sana,asa lile libaba na ule mtumbo wake,c ndo kumuumiza binti wa wa2!
   
 15. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,935
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  ...naskia ndo wanapendwa sababu hawakompliketi sana kwenye shughuli na ni rahisi kuwachuna.
   
 16. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Kwenye tumbo linakua kama halipo,muulize vizuri lulu.
   
 17. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 135
  hivi hii habari ina ukweli wadau?
   
Loading...