Tanzia: Mzee Kipara Ameaga Dunia

NIMEKIMBIA CCM

Senior Member
Oct 4, 2011
193
26
Ndugu wanajf,msishangae kuona nmeandika kwenye jukwa la siasa,mim namin kwenye huzuni n lazima siasa na vingnevo 2vweje pemben,muigzaj wa kaole sana group anazikwa sasa kigogo-DAR ES SALAAM
 
RIP Mzee Kipara sauti yako nzito ilishabihiana na umbo lako kubwa.Tangulia Mzee Kipara wasalimie wasanii wote waliotangulia mbele ya haki.
 
maskin mzee wa watu,cjui kama baba riz alipata taarifa za msiba wako.mchango wako kwny sanaa ni mkubwa kuliko huyo kanumba lakin nani aliutambua?r.i.p mzee..
 
maskin mzee wa watu,cjui kama baba riz alipata taarifa za msiba wako.mchango wako kwny sanaa ni mkubwa kuliko huyo kanumba lakin nani aliutambua?r.i.p mzee..

Hivi nani aliiwakilisha serikali kwenye mazishi ya mzee Kipara?

Mzee Kipara wa longi kweli tangia Radi Tanzania akiwa na akina mama haambiliki lakini alivyokufa hakuna aliyekuwa na habari zake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom