Kufa kufaana:Wasanii Bongo Movies waanza kuchangisha pesa..

ma2mbo

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
697
326
Baada ya kifo cha Kanumba..wasanii wa bongo movies wakiongozwa na Ray,cloud na steve nyerere,wameanza kupita kwenye vyombo vya habari kuchangisha fedha bila kusema zitatumikaje izo fedha..

Namba ya kuchangia fedha izo ni nitawawekea,sijazipata vizuri.
 
Mbona kama wanakurupuka tu?wameshawasiliana na familia ya marehemu?
 
msipende kuwapaka watu matope! nao walisema watatokea watu watakao sema hivyo! walieleza wazi kuwa hawaombi mchango wa mtu ila watu wamekuwa wakipiga simu wanataka kutoa rambirambi,ndio maana wakahamua kutoa utaratibu kwa anayehitaji kuchangia! walitoa angalizo kuwa watu wasichukulie tofauti lakn inaonekana bado mmekuwa wagumu! mbona mnapenda maneno?
 
wanajua wanachofanya ndio maana wanajiami..tunaijua hii michezo ya kupeleka robo ndio maana tuna mashaka.
 
msipende kuwapaka watu matope! nao walisema watatokea watu watakao sema hivyo! walieleza wazi kuwa hawaombi mchango wa mtu ila watu wamekuwa wakipiga simu wanataka kutoa rambirambi,ndio maana wakahamua kutoa utaratibu kwa anayehitaji kuchangia! walitoa angalizo kuwa watu wasichukulie tofauti lakn inaonekana bado mmekuwa wagumu! mbona mnapenda maneno?

waambie hawa muheshimiwa adv.wanataka tu kupaka watu matope,kama hutaki usichangie,acha walioomba utaratibu wa wao kutoa rambirambi wautumie.
 
Baada ya kifo cha Kanumba..wasanii wa bongo movies wakiongozwa na Ray,cloud na steve nyerere,wameanza kupita kwenye vyombo vya habari kuchangisha fedha bila kusema zitatumikaje izo fedha..

Namba ya kuchangia fedha izo ni nitawawekea,sijazipata vizuri.

Asha Baraka ndio bongo movies, coz namba zake ndio zinatumika kupokea michango!
 
Baada ya kifo cha Kanumba..wasanii wa bongo movies wakiongozwa na Ray,cloud na steve nyerere,wameanza kupita kwenye vyombo vya habari kuchangisha fedha bila kusema zitatumikaje izo fedha..

Namba ya kuchangia fedha izo ni nitawawekea,sijazipata vizuri.

umemsahau Ruge Mutahaba ndie mtunza hazina
 
waambie hawa muheshimiwa adv.wanataka tu kupaka watu matope,kama hutaki usichangie,acha walioomba utaratibu wa wao kutoa rambirambi wautumie.

acha shobo wewe..ebu kasome alichokiandika mwishoni kwenye twitter kabla ajafa ndio utaelewa hawa watu ni mabumashi.
 
Mwenye utaalamu wa kuweka hapa alichoandika Kanumba kuhusu hao wanaokusanya michango kwenye twitter atuwekee hapa..ndio mtaelewa ni watu wa namna gani hao.
 
wabongo jamani tuna matatizo sana,kama unaona hela yako italiwa na wajanja acha kwani wamelazimisha? Mbongo hata umfanyie nin hawezi kuridhika.
 
Wauze hiyo Lexus!! Ngoja niweke hela kwenye mpesa nitume chadema kwa maendeleo ya nchi msiniletee huu ubishoo wenu wa kusugua nyuso nasitembelei tena hili jukwaa mwisho ni sasa hivi
 
wabongo jamani tuna matatizo sana,kama unaona hela yako italiwa na wajanja acha kwani wamelazimisha? Mbongo hata umfanyie nin hawezi kuridhika.

hawa watu wanatumia msiba wa Kanumba kujinufaisha,mzee Kipara aliangaika mpaka anakaribia kufa ndio wakajitokeza kuchangisha kama kawaida yao...

Ila kama unataka kuwachangia hao misheni town ruksa,watajilishe tu.
 
msipende kuwapaka watu matope! nao walisema watatokea watu watakao sema hivyo! walieleza wazi kuwa hawaombi mchango wa mtu ila watu wamekuwa wakipiga simu wanataka kutoa rambirambi,ndio maana wakahamua kutoa utaratibu kwa anayehitaji kuchangia! walitoa angalizo kuwa watu wasichukulie tofauti lakn inaonekana bado mmekuwa wagumu! mbona mnapenda maneno?

Wezi tu hao,...... kwani tapeli akitaka kukutapeli atakwambia ninakutapeli?!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom