Barnaba: Ulisemwa unaniibia lakini tunzo nimepata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barnaba: Ulisemwa unaniibia lakini tunzo nimepata

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Ruttashobolwa, Apr 15, 2012.

 1. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Barnaba akiwa kwenye usiku wa tunzo za kili. baaada ya kupewa tunzo aliiamua kushusha mistari ya mipasho kwa wale wanaosema Ruge anamwibia na nukuu" shukrani zangu kwa Ruge ulisemwa sana unaniibia lakini tunzo nimepata" apa ndipo niliposhindwa kumuelewa barnaba kuhusisha kupata tunzo na kutoibiwa kwa sababu sidhani kama hiyo tunzo inafikia thamani za shoo anazo pata! anashindwa kufikiri ansaulishwa kwa kupewa tunzo,nilitegemea angefanya utafiti kwnza aangalie show anazopata na mafanikio aliyonayo,inawezekana wanaosema hivyo walisha zulumiwa na ruge,kwake ingekuwa changamoto na kufanya utafiti.Na yule muhaya hawezi kufanya kazi ya kanisa.
   
Loading...