Kanumba anatosha!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanumba anatosha!!!!!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by KIMALIKE, Apr 14, 2012.

 1. K

  KIMALIKE Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani magazeti ya udaku tumeshoka kuandika abali za kanumba sio ishu na ii ya leo yakusema kaonekana tabata mmezidi mwasheni watu bado wana majonzi alafu nyie mna andika uongo uo mjue kua watu wana umia sana acheni apumzike kwa amani.kwanzia sasa fungeni kabisa kuandika kuusu marehem yaani nyie amuogopi ata mungu.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Watakula wapi?
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  yaani umeniwahi tu ila kamchina kangu niongee na invizibo aweke like ili tuweze na sie kuigonga..
   
 4. K

  KIMALIKE Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaweza wakandika abali nyingine tu na sio za k ata ivyo wajue ata ao wanao wauzia wataacha kununua magazeti yao kwani awapendi izo abali, zinawatia uchungu.
   
 5. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Wanachefua sana.
  Watu wanamzungumzia mpaka kufuru wanafikia hata hatua ya kumuona au kumfananisha kama mungu mtu.

  Watu kama hawa ni hatari sana hapa dunian.

  Kwani yeye hakustahili kufa?? Ikiwa MUSA,YESU MUHAMED walikufa yeye kanumba asife kwan yey nani?
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Duuh kiswahili kigumu!
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,106
  Likes Received: 6,580
  Trophy Points: 280
  Super star.
   
 8. J

  JOJEETA Senior Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ila hawa jamaa wamezidisha jaman utadhan walikua wanasubiri afe khaa,hebu wamwache apumzike.
   
 9. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35


  ha ha ha ha ha... Mbavu sina. Rakini hujumbe mevika ote na umereweka vizuli.
   
 10. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Shingongo anazidi kuwajaza ujinga waDanganyika
   
 11. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  unfair
   
Loading...