Kwa hili naomba nisaidiwe

Sep 22, 2011
33
2
Jamani wana JF poleni kwa kazi ya kutafuta DINARI, Nipo janvini kuomba kusaidiwa swala hili hivi ukifuta text kwenye simu inaenda wapi? Naomba maelezo ya kina! Asanteni!
 
Kwani umeshawahi kujiuliza vilevile inakuwaje unaenda dukani kununua 'hela',hiyo hela unaiweka kwenye simu,kadri unavyoongea ndipo hela yako inavyopungua kwenye simu..

Ile hela inaenda wapi wakati uliingiza kwenye simu?
 
Kwani umeshawahi kujiuliza vilevile inakuwaje unaenda dukani kununua 'hela',hiyo hela unaiweka kwenye simu,kadri unavyoongea ndipo hela yako inavyopungua kwenye simu..

Ile hela inaenda wapi wakati uliingiza kwenye simu?

kitendoo cha kutumia anga kwa maana ya masafa ya netwk yanagarama tena kwa sekunde
 
Mkuu kufuta text kwa simu unakua umeiondoa kwa simu yako tu ila text bado inabaki hewani, ndio maana hata ukifuta text alafu ukaenda vodacom(i.e any telecom company) wakifanya mambo yao text yako inapatikana.
 
ifute hiyo msg yako kisha ifungue simu kisha idumbukize kwenye kalai lenye maji ya uvugu uvugu kisha kaa kama dakika 20 hivi then nenda tartiiibu kwenye hilo Kalai kisha utaikuta sms yako inaelea....
Thats all folks.
 
mh swali gumu sana mana wengi tumeshajiuliza, inakuwa kama kuku na yai kipi kinatangulia, mwe! sio inabaki kwa mtandao kweli, mana kama ukienda mfano voda utake message zako ziwe printed inawezekana, sa sio na ya kufuta inabaki kwa mtandao pia!!!
 
check sehemu ya kuchajia au earphone port. Utaona herufi zinaondoka moja moja.

Alternatively.
Translation ya hizo data ipo katika mfumo wa I0I0I0I0. Unapofuta, sio kwamba inaondoka milele, ndo maana unaweza ku-recover lost data hata kama simu imeflashiwa.
Kama ni msg uliyotuma au kuingia, itakuwa kwenye server kwa muda kadhaa kulingana na sheria za nchi, ambayo nadhan ni 3 years. Operators watakuwa nayo kwa ajili ya usalama wa 'taifa'.
Mfano wa internet ni kama google cache. Picha ya facebook ambayo mtu ameshafunga account bado itakuwepo kwa muda flani kwenye mtandao.
Ila mkuu swali lako ni too technical, lingekuwa kwenye technology.
 
Back
Top Bottom