Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

BABA mzazi wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond', (pichani) Abdul Juma ameibuka ambapo mbali na tukio hilo pia amenena mambo mazito kuhusu mwanaye huyo huku akimsukumia tuhuma...
0 Reactions
43 Replies
12K Views
Mi ni mpenzi sana wa kusikiliza miziki hii ya kina bob, dube etc. Kuna msani wa south nilimfahamu kwa jina la senzo ambaye alikuwa mpiga drum wa luky dube. Nakumbuka vibao vyake vya rasta wakeup...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Msanii huyu Fatuma wa jijini Mwanza anaomba ufadhili kwa ajili ya kurekodi albam yake ya Audio na Video. Kwa yeyote mwenye nia njema na Muziki wa Bongo flavor anaombwa kutoa mchango wake kupitia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimewa miss sana hawa watangazaji, je unawakumbuka? Picha kwa hisani ya RM for the photo!
0 Reactions
28 Replies
9K Views
DEVELOPING STORY: The Okoyes, one of Africas most prominent pop music families, have lost their mainframe with the passing yesterday, of their mother Mrs Josephine Okoye. No word yet from Peter...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wadau wenzangu wa JF hivi shindano la Bibi Bomba linaloendeshwa na clouds media mnalielewaje? Me naona kama linawadhalilisha bibi zetu hawa na ni kama kujitafutia laana tu kwa kufanya hvyo....
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nawasalimu wadau Jamani nimecheki event ya wema ni noma sijui pesa anapata wapi ila ni noma. Wolper na muuza unga wake hana lolote, kakalia hicho kigari, jpkate kuvaa miguo myeusi, na sintah...
0 Reactions
59 Replies
9K Views
kuna mtindo umeanzishwa na wasanii wa kibongo kupiga picha na mavazi yenye alama za freemason na wengine kuzionesha ishara hizo hadharani ili tuamini mali walizonazo ni za chama hicho.mfano wa...
2 Reactions
31 Replies
24K Views
MHUSIKA katika kiwanda cha filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu' (pichani), ameangusha bonge la ‘pati ya bethdei' ya kutimiza miaka 18 inayodaiwa kugharimu takribani shilingi...
2 Reactions
73 Replies
30K Views
Japo baadhi ya wasanii wanalalamika kuwa "ma promoter" wanawanyanyasa wasanii, kuna dalili zote kuwa baddhi ya wasanii pia wanataka kutumia fursa za wasanii wenzao kurekebisha maisha. Kiwingu...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
The couple who had initiated themselves to a cult........in fact Tom was there even before they tied the knot and he later nudged his wife to join him there. These so-called Scientologists seem...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Msanii Chid benz, amemuita prof jay mpuuzi baada ya prof.jay kumuongelea chid kwenye kipind cha mkasi kwamba alimuombea ruhusa chid kwa mama yake ili aimbe,pia zaid ya kumtukana alitaka kumpiga...
0 Reactions
33 Replies
10K Views
Daktari aeleza kilichomwua Kanumba NI BAADA YA JOPO LA MADAKTARI MUHIMBILI KUMFANYIA UCHUNGUZI, BABA YAKE AZUNGUMZA, WABUNGE WAANGUA KILIO Florence Majani na Suzzy Butondo | Mwananchi...
1 Reactions
71 Replies
25K Views
MOJA KATI YA WAANZILISHI WAMTANDAO WA FACEBOOK CHRIS HUGES AOA SHOGA....... . Baada ya mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa kijamii wa facebook Chris Hughes kufunga ndoa ya jinsia moja na mpenzi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mmoja wa fans wake amwambia dogo......
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Ilikuwa nikipindi cha gosp cha claud pale sud brown alipomuuliza dul kuhusu kukopi bit wa mwanadada wa kijamaica
1 Reactions
64 Replies
11K Views
Wema Isaac Sepetu na mama yake, Mariam Sepetu hawapo vizuri tangu yale mahojiano aliyoyafanya mzazi wake huyo runingani wiki mbili zilizopita akiwachana marafiki wa staa huyo mkubwa wa picha za...
1 Reactions
29 Replies
22K Views
leo kwenye xxl ya clouds fm msanii wa hipohop kutoka Arusha, amefunguka na kusema kwamba hiyo show ilikuwa poa sana na hakuna vurugu zilizotokea.. Amesema kama wapo waliorusha mawe basi...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Ulimbukeni wa watangazaji Mpaka Kero....... Dancers hawana ubunifu wowote zaidi ya kuiga style za nje. IT'S BORING
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Mama yake Wema Sepetu, Bi Mariam Sepetu afunguka kwa ghadhabu akiwatakia wale wote ambao wamekuwa wakifuatilia maisha ya mwanae hasa waandishi wa habari za Udaku waache mara moja vinginevyo...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Back
Top Bottom