Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Jokate na wema sepetu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
mheshiwa sugu amefanikiwa kupata mtoto,hongera sana.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yalianza maneno,kila mtu anamrushia mwenzake,ghafla wakaanza kusukumana...watu hawajakaa sawa,milio ya risasi ikasikika. Ilikuwa back stage kwenye tuzo maarufu za BET HIPHOP AWARDS zilizokuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani eti ni msanii gani hapa bongo wewe akifanya show ata bure hauendi kutazama..??? mimi binafsi siwezi enda kwenye show za Sugu na Roma ata iwe bure alafu niongezwe na pesa..
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Happy birthday kamanda wa ukweli,jembe lisilo na ubishi mungu akupe maisha marefu uzidi tuwatumikia wa Tz kwa moyo wako wote,
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mtu anayejiita mchungaji hivi karibuni amemtabiria kifo rapper Ney wa Mitego kwa kudai kuwa atafariki kwa kuchomwa na kisu au kupigwa risasi. Ney amesema mchungaji huyo alimfuata nyumbani kwake...
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Rick ross wa pili kutoka kulia akiwa na kundi lake la MayBach Music Group Rapper bilionea kutoka USA William Robert a.k.a Rick Ross anatarajia kupiga show nchini Tanzania tarehe 6 mwezi oktoba...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuna njia nyingi sana za mtu kuwa maarufu baadhi ni kujitangaza,lakini pia kuna njia za kupata umaarufu kwa haraka kama kufanya jambo lolote baya kiasi cha kuwashangaza wengi pia kufanya mema au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie ceo wa clouds media ni Alex kusaga au Joseph kusaga au nani ni nani pale clouds?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Msanii wa filamu marehemu Steve Kanumba amerudi na filamu mpya inayoingia mtaani wiki hii,inaitwa 'Ndoa Yangu' ..ni filamu iliyotabili kifo chake na ipo chini ya usimamizi wa mama yake..get your...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Razima leo nimuone atakapo kuwa anatangaza kazi yake mpya. mia
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
mastaa wetu hao,awajifunzi na makosa
0 Reactions
67 Replies
14K Views
Amesema ayo kutokana na JB kuambatana na kina Aunt kwenye majukwaa ya fiesta na kutoa burudani ya kukata viuno.
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Kioo cha jamii kikionyesha taswira yake halisi... Picha kwa hisani ya Shigongo (Global Publishers)
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Ndugu zangu kwa muda sasa toka niusikie ule wimbo wa diamond nimpende nani nimekuwa na hakika kuwa ameiba mapingo ya nyimbo ile kutoka kwa mpiga tarumbeta yami sax. Naomba muusikilize huu muziki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakati wadau wa filamu na kazi za wasanii wakimtolea macho Aunty Ezekiel baada ya picha zake za nusu uchi kusambaa huku zikidaiwa kuvunja maadili ya kitanzania msanii mwenzake Salma Jabu'NISHA'...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Rama Dee kwa uhakika hana mpinzani katika tasnia ya muziki wa kuimba, hapigi kelele kama masharobaro, na wala wala habani pua Kawashirikisha Kulwa na Dotto wa Mapacha, kisha niambie Mapacha...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Jana nilisikia habari zilizonisikitisha sana kuhusu mwimbaji anayenivutia sana katika kazi zake Mwalimu wa Walimu Banza Stone kwamba alikiri katika radio hiyo amekata tamaa ya maisha na sasa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
  • Closed
Amesema maneno hayo kwenye kipindi chake cha hala za roho.
0 Reactions
106 Replies
21K Views
Back
Top Bottom