JCB: sikuzomewa..jamiiforum imeusika kusambaza uzushi..

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
11,064
7,196
leo kwenye xxl ya clouds fm
msanii wa hipohop kutoka Arusha, amefunguka na kusema kwamba hiyo show ilikuwa poa sana na hakuna vurugu zilizotokea..
Amesema kama wapo waliorusha mawe basi walilushiana wao kwa wao,kwani yeye pia ni underground kwa hiyo hawezi kuwadis wenzake..
Amedai waliompa habari hizi walidai wamezitoa jamiiforum..
 
Good...gooder...goodest! Naona JF sasa inazidi kufahamika...baada ya mwaka itaishinda facebook!!
 
mKUU,
Naweza kuwa niko Arusha , lakini Umri mkuu!...Umri hauruhusu kuingia matamasha ya hivo...Mi na rafiki yangu Ngongo tuambie wapi wako Serengeti Sound, ili tukasikie "Embe dODO LIMELALA mUCHANGANI"

umenikumbusha umelala dolo mtalimbo..lakini kuna kangamoja ndembendembe hata kama umri umesogea unaburudika..
 
amesema watu hatuzungumzii mazuri anayofanya..tunazungumzia mabaya.kwahiyo basi wanaojua mazuri yake wayaseme hapa.
 
nilisikia anasema eti" niliambiwa na mshikaji wangu eti nasemwa jamiiforums. akaniambia nifungue jamiiforums halafu sijui niingie sijui celebrities sijui nini halafu sijui niclick sijui wapi huo ni uzushi mtupu" mwenyewe analikuwa anasema. Mia
 
nilisikia anasema eti" niliambiwa na mshikaji wangu eti nasemwa jamiiforums. akaniambia nifungue jamiiforums halafu sijui niingie sijui celebrities sijui nini halafu sijui niclick sijui wapi huo ni uzushi mtupu" mwenyewe analikuwa anasema. Mia

alikua anazingua kuitaja eti sijui mtandao wa jamii nini sijui.... Ha wapi.. Mia.
 
JCB?hizi ni promo sasa,wengine hatujawahi hata kumsika hapa tayari mmempromot.
 
Back
Top Bottom