wolper/jokate/sintah hawana lolote kamwe hawamkuti wema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wolper/jokate/sintah hawana lolote kamwe hawamkuti wema

Discussion in 'Celebrities Forum' started by lara 1, Jun 26, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Nawasalimu wadau

  Jamani nimecheki event ya wema ni noma sijui pesa anapata wapi ila ni noma.

  Wolper na muuza unga wake hana lolote, kakalia hicho kigari, jpkate kuvaa miguo myeusi, na sintah hana hata la kumsema.

  Wema kweli nilikuwa nakuona ***** bt management ya Kadinda imekubadili, fanya mambo ya maendeleo hii migubegube ya mjini iache iendelee.
   
 2. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Wote vilaza tu maana wanauza habari kwenye media wenyewe
   
 3. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  we are together lara 1, nampenda wema sana, napenda maendeleo yake!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,462
  Trophy Points: 280
  kama nipo saloon ya kike hivi.!
   
 5. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  He, na wewe unafaidika na nini hapo, au ni ukosefu wa kazi?
   
 6. k

  kwangu11 Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  unamsifu hali yakua hujui source of her income,I thought u know her well maana ume wadis wengine,do ur home work b4 ujaleta hoja....nilitaka kuwasalim tu jamani wazima wotee....!
   
 7. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mmetumwa mnanichefua
   
 8. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  2po pamoko
   
 9. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Na wewe ulivocomment umefaidika nini? Mi nashare opinion yangu juu ya hawa macelebrity hata kama haikupendezi
   
 10. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Stop the negativity n hatting mdau, wema kaangusha zinga la event chezeya kumleta Omatola bongo! Kawanywesha watu Kempisk mpaka wameshindwa wenyewe.

  Mtu akifanya kitu sifia ulichokiona, anakopata ela sipajui kweli ndo maana sipondi! Ila so far Kawafunga wapinzani wake midomo
   
 11. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280

  Na bado utakoroga povu la omo na kulinywa mwaka huu kwa wivu na roho yako ya mchongoma! HALOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO! Saga chupa kama umechefuka sana
   
 12. T

  Tabata Dsm Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo maana wabongo hamuundelei, asa ukishajua source of income ya mtu mwingine itakusaidia, ******* nyie...acheni na majungu, kazi kukaa kwenye blogsite na kuongelea maisha ya watu, badala ujishughulishe umsaaidie mama yako kimaisha...................
   
 13. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  we uko wapi mdau na unaongelea nini? Ndo yale yale ya nyani kucheke k ya mwenzie wakati lake haliono
   
 14. GP

  GP JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135

  lara 1 Junior Member


  Join Date : 10th June 2012
  Posts : 8
  Rep Power : 304
  Likes Received 4

  Likes Given 2


  Junior Member

  Join Date : 26th June 2012
  Posts : 5
  Rep Power : 302
  Likes Received 0

  Likes Given 0
  watu hata mwezi hamjaliza mmeanza kuleta umamluki wenu wa facebook, MMETUMWAAA?
  aaarrrrggggggggggghhhhhhhh  [h=2][/h]
   
 15. k

  kwangu11 Member

  #15
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sijakataa kumsifu mtu mdau but ni wewe mwenyewe ndio uliyeshusha thamani ya stori yako pale uliposema hujui anatowa wapi pesa,ingetosha kumsifu kwa alichofanya but ulipoingiza hio kitu inamaanisha unasifu usicho kijua...!
   
 16. k

  kwangu11 Member

  #16
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wewe nawe si mzalendo? kujua source of income ya mtu hamaanishi huna la kufanya ama itakusaidia kitu laa hasha...but we need positive income kama niya kimagumashi tukuripot msituharibie nchi bibi yangu shinyanga akahangaika....!
   
 17. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Usilolijua litakusumbua!!!!!!! Tena sana!!!!!!!!!!!! Kwa taarifa yako mimi ni FAIZA FOXXY NIMERUDI KIVINGINE. ujunior member usikutishe!!!!!!! Nipo humu tangu enzi za jambo forum sema ban tu ndo zinanidogosha
   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kaWema nakapenda kweli lakini saa zingine kananiuzi.....kakishaanza kujichubua.....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. GP

  GP JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  tatizo umezidi ushambenga ndio maana ban zimezidi.
  hivi neno FOXY maana yake nini vile?
  loh
   
 20. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,080
  Likes Received: 4,663
  Trophy Points: 280
  Source ya hela ya wema.....tigo yake inalipa...
   
Loading...