Mwanafa, dully na skendo ya kucopy wimbo...Dully atukana redioni

Muarubaini

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
222
48
Ilikuwa nikipindi cha gosp cha claud pale sud brown alipomuuliza dul kuhusu kukopi bit wa mwanadada wa kijamaica
 
muda mchache uliopita Mwanfa kapigiwa simu kuulizwa kuhusu track yake Ameen, inasemekana wamesample beat na chorus ya wimbo wa Cecile uitwao Hey, FA alipoulizwa akadai hilo suala aulizwe Dully, ila akakiri kwamba beat imekopiwa na siyo chorus,

kimbembe kimekuja baada ya kupigiwa Dully, kaulizwa na akajibu kwa mkato "usinipigie tena, huwa siongei na mashoga"

Ni clouds,dully kamwambia suddy brown ni shoga.

UPDATE
MwanaFA..Ameen hii HAPA

Kamcopy Cecile-Hey HAPA
 
Hiyo itakuwa clouds coz juzi kwenye xxl wakati dully na mwanafa wanaojiwa Dully alimtukana Adam Mchomvu kuwa ana nywele chafu hivyo awezi kuongea nae
 
Ilikuwa nikipindi cha gosp cha claud pale sud brown alipomuuliza dul kuhusu kukopi bit wa mwanadada wa kijamaica

Kwani wasanii wa Bongo Fleva beats wanatoa wapi? Tanzania hatuna muziki wa Zouk, Kwaito, Reggae, bali ni rumba iliyotoka Congo/Kinshasa na wao wali imodernize kwani asili ya huu muziki wa Congo ni Cuba na ulikuwa unaitwa Afro - Cuban. Tanzania na Congo in the 1950's (late) tukaja na style yetu ya kiafrika na kuachana na ile ya Cuba (salsa/charanga). Hivyo muziki wa asili wa tanzania ni rumba dizaini ya msondo na Sikinde, ila hii ya Bongo Fleva si miziki yetu lakini utashangaa mtu hapa Tanzania anaitwa malkia wa Zouk, au mfalme wa Kwaito, sasa wenye huo muziki waitwe nani, wababaishaji? Hakuna msanii wa Fleva hapa Bongo mwenye beats zake, wote hawa feki wanakopi tu. Diamond kwa sasa anatumia beats za Nigeria, Jay Dee Kwaito, yaani mambo ya kukopi tu na ku paste, inaboa kishenzi. Dully lazima akasirike kwani kakamatwa na hakutegemea kama kuna watu wanajua ile beats. Masuala ya ushoga kwani yeye pia si kuna jamaa walimtwanga kisamvu chake/kumshikisha ukuta miaka ya nyuma baada ya kulala na mke wa mtu? Sasa yeye aitwe nani?
 
alaa kumbe dul nae shoga sikujua mimi
 
Nimemsikia jamaa kamnyea mbaya hadi mimi mwenyewe msikilizaji nikaona aibu je mshikaji mwenyewe aliyeambiwa sijui atakuwa kwenye hali gani.
 
Sasa mtu kama ni shoga na ukamuita shoga sasa hapo ilo tusi liko wapi hapo? ni nani asiyejuwa kwamba clouds imejaa mashoga na wanaliwa kama mboga!?
 
ooohh my gaaadd!!!! are you with senses..??
 
bana.hata mm nimemckia.yeye kama msanii anayejiheshimu hakupaswa kujibu matusi hata kama huyo sudy ni shoga!!!jamaa mshamba tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom