wasanii wanatuhadaa na picha zenye alama ya freemason | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wasanii wanatuhadaa na picha zenye alama ya freemason

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Wizzo, Jun 23, 2012.

 1. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  kuna mtindo umeanzishwa na wasanii wa kibongo kupiga picha na mavazi yenye alama za freemason na wengine kuzionesha ishara hizo hadharani ili tuamini mali walizonazo ni za chama hicho.mfano wa wasanii hawa ni pamoja na kanumba,wolper,wema sepetu,diamond na wengine wengi.
  Ninachowaomba watanzania wenzangu tuwachunguze hawa watu yaweza wakawa ni wauza wadawa (drag supplier) wakubwa na wanatumia safari zao za ulaya kwenda kubeba mzigo kwa kutuhadaa na show.
  Naomba tusijaji utajiri wa watu kwa kivuri cha ufreemason kumbe kuna behind the scene.We have to thing big concerning this issue.
  wEeKeNd NJEMA
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  asante wikend njema na wewe
   
 3. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  ulimi hauna mfupa ni drugs
   
 4. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  umewaza vyema, lakini umefanya hata kautafiti binafsi kadogo tu!!
  ingawa taarifa yako si ya kubeza, funguka zaidi basi mkuu.
  mi nakumbuka habari ya 20% kukamatwa na kg 20 za bangi kule mtwara, sijui kesi iliishia wapi, na jamaa ndo naona nitolee kwenye game.
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,511
  Likes Received: 12,772
  Trophy Points: 280
  sijui wanaafaidika na kitu gani kuiga kwingine bhana looh
   
 6. k

  kinubi Senior Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  hivi ni chama au? Kuuliza siyo ujinga wakuu!!
   
 7. k

  kisukari JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  mimi naamini hao wauza magazeti ndio wanaopotosha watu,unachokivaa ni freemanson,ukipiga picha kuweka pozi la chadema,unaambiwa ni freemanson,mpaka inaudhi kwa kweli
   
 8. G

  GALIMA JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  afu kuwajadili hao freemason tunawapa promo.kama wanameza pipi cku za mwizi ni 39 tu
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Ivi mnadhani freemason huwa ina watu wa hovyo hovyo kama wema au wolper?
   
 10. k

  kinubi Senior Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
   
 11. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Huna Mpyaa bado unafatilia izi mambo za UfreeMasons ?? "Drag Supplier" ndo nini ?...Bora ungetutakia Mchana Mwema..ungeeeleweka

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 12. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mpita njiaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 13. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  eti na ka steve nyerere nako kanajidahi kako freemason ha ha ha ha freemason imevamiwa jamani lol
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Siku ya jumamosi watazichapa ulingoni ikiwa ni mpambano wa utangulizi kabla ya Kaseba na Cheka kuzichapa. Kwa bifu la hawa mabinti wasije kuuana ulingoni.
   
 15. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  2taona siku ikifika na hiyo mikorogo yao
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkubwa n aamini leo jioni yako si njema. Habari hii imo humu majukwaani tangu jana mkuu.
   
 17. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  mbona nasikia wema yuko mwezini..ataweza kufika uwanja wa taifa kweli?
   
 18. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  acha wadondoshe pedi ulingoni...
   
 19. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  ah! c hatuelewi hilo aje pale uwanjani kama yupo mwezini tutahakikisha
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  ha ha haaah!! Kweli kaka jana sikuwa fresh.........sikuiona hiyo habari.
   
Loading...