Dogo janja vs madee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dogo janja vs madee

Discussion in 'Celebrities Forum' started by ngoshwe, Jul 7, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Japo baadhi ya wasanii wanalalamika kuwa "ma promoter" wanawanyanyasa wasanii, kuna dalili zote kuwa baddhi ya wasanii pia wanataka kutumia fursa za wasanii wenzao kurekebisha maisha. Kiwingu kimatawala kuhusu bifu lililopo kati ya Madee na Dogo Janja baada ya Dogo Janja kurejeshwa Dar na Ustaadh Juma. Wiki iliyopita Madee alihoijiwa na Clouds TV katika kipindi cha Chat room ya Clouds TV na alionyesha kuwa alikuwa na nia njema kumsaidia Dogo Janja, wiki hii Dogo Janja kapanda Studio hizo hizo na kuanika masiah yake na Madee ambapo amebainisha kuwa Madee alipanga kumtumia tu kimziki na sio kumwendeleza.  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Wote akili zao zinafanana
   
 3. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  dogo aende shule
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Madee na dogo janja akili zao ziko sawa.
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  ndio kina nani hawa?
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Ukipita huku wewe soma tu umbeya jiondokee zako, huku wanajuwana wenyewe.
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  ni waimba kwaya.
   
 8. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  ulale we mwanamuke khaaa!
   
Loading...