Wema nimemtengeneza, hawatamuweza tena - Mama Wema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wema nimemtengeneza, hawatamuweza tena - Mama Wema

Discussion in 'Celebrities Forum' started by ngoshwe, Jun 20, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mama yake Wema Sepetu, Bi Mariam Sepetu afunguka kwa ghadhabu akiwatakia wale wote ambao wamekuwa wakifuatilia maisha ya mwanae hasa waandishi wa habari za Udaku waache mara moja vinginevyo atakula nao sahani moja.

  Akieleza kwenye Kipindi cha "Take One" kinachorushwa na Clouds TV, amejigamba kuwa mwanae alikuwa na "tabia nzuri" lakini baadhi ya marafiki wamemharibu japo bado anakubalika na watanzania wote.

  Amesema wengi wa marafiki walifikia hata kumpeleka kwa waganga wa Kienyeji, na kuna wengine amefikia kuwafukuza kabisa wasikanyage nyumbani kwake kutokana na tabia zao.

  Akifunguka kwa maneno tata mama huyo amesema kuwa ana mchukia sana Diamond kutokana na "kumtumia mwanae" kwa ajili ya mafanikio yake ya kimuziki (hakufafanua kimtumia mwanae kivipi?) ila alisema kuwa ameyajua hayo baada ya kuzunguka.

  Alieleza pia kuwa amehangaika sana kumrudisha Wema hapa alipofikia sasa. Aalisema kuwa amegundua mengi sana ambayo marafiki zake walikuwa wakimfanyia (hakuwataja zaidi ya Jackline Whopper) ambae anasema aliwahi kumtusi mwanae wakati fulani kuhusu maangaiko yake na kusema hana pa kuishi.. "Huyo Whopper aelewe Wema hapa ndio nyumbani kwao alipozaliwa" aling'aka mama huyo.

  Kuhusu mahusiano ya Wema na Diamond alisema, alimchukia sana Diamond tokea walipoanza mahusiano na Wema kwani Diamond alilenga kumtumia tu mwanane kufika pale alipo lakini atashuka muda si mrefu. "Diamond hana adabu hata kidogo, kijana huwezi kumchukua binti wa watu ukaenda kumvisha pete ukumbini hata wazazi wake hawajui wala hujaenda kujitambulisha kwa wazazi wake...hii ni dharau kubwa sana aliyoifanya na mimi nilisema, kamwe asingeweweza kuishi na mwanagu kama mimi mzazi wake sijapenda".

  Alionya kuwa kwa sasa mwanae WEMA amemtengeneza na hakuna atakaweza tena kumvuruga kama mwanzo.... Hata hivyo, Mzazi huyu aliyeonekana akiongea kwa machungu hakuweza kufafanua mwanae amemtengeneza namna gani....

  Pata Majigambo mazima ya mama huyo hapa:


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Diamond anaonekana mshirikina sana huyo dogo,
   
 3. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Like Mom Like Daughter..huyu mama hana busara na hata shule nina mashaka nayo..mswahili na mshirikina sana anaonekana..yani una ropoka kumtengeneza kwa mganga binti..what a shame..? ngoja aje zamaradi mketema na ID yake ya Mrembo By Nature aanze kumwaga mitusi!
   
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  lol! some moms are amazing! kutetea upumbavu, eti marafiki walimharibu, kwani walimfunga kamba kumvuta na kumharibu! pathetic eish!
   
 5. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Anamchukia diamond kisa? Au alitaka apewe ile pete yeye? Maana kwa ile tabia yake anaweza kuwa anataka dogodogo! Hata kama wanasema mama is the best, then kwa mama wa aina ile nimegundua ina ukweli. Malezi ya mama saa nyingine bana, angalia lulu, wema, diamond hewa kabisa.
   
 6. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Pengine akina mama ndio wanaoharibu watoto kwa kile wanacho dhani ni mapenzi ya dhati..hakuna mama ambae anapenda mwanae aonekane kakosea, akina mama wanapenda zaidi watoto wao kuliko watoto wa wanawake wenzao..kwa kuona kuwa wao ndio walioumia kuzaa mtoto pengine wanapoteza mwelekeo na kusababisha watoto wasimheshimu wengine hata Baba zao...Tuangalie malezi ya watoto wetu, tutawaharibu!!
   
 7. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  huyu mama analaumu magazeti ya udaku wakati akina wema wanalipa pesa ili waandikwe.!
   
 8. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  ye mwenyewe anapenda kuandikwa.
   
 9. m

  mullay Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wema si anapeleka habari zake mwenyewe kwenye magazeti. Na kipindi cha Jumbe huyu Diamond alikuwepo? amuache mtoto wa watu, mtoto wake amechafuka kitambo.
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Uswahili mzigo!
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Acha ujinga wewe. Uswahili ndiyo kitu gani?
   
 12. s

  shosti JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hii familia ni washirikina hata kwa jumbe walidai hivihivi ptyuu!
   
 13. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mama Wemal anaonekana ni Mshirikina kabisa, sasa huyo Wemma anarogwa na kuchezewa nani? Wakati tabia zake ndio zinazo mfanya aonekane kama Mwehu fulani? Kwanini sio Nancy Sumari? Awe yeye? Mama na mwanae wote washirikina tu...
   
 14. M

  Mimi. JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 623
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Duh mama ake ni mchawi sana na mswahili mno,ptuuuuuu naisi hata la saba hakufika yule mama kaishia chekechea maneno gani yale ya kuongea mbela ya camera
   
 15. w

  waleoleo Member

  #15
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wote washirikina hao mama na mwana
   
 16. T

  TUMY JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asiyefunzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu.Huyu mama anaonekana hamjui mwanae vizuri, ataaibika.
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kibaya kama utumwa wa kifikra...sasa wewe unaona Uzungu ndio wenye thamani, subiri ndoa za jinsia moja.
   
 18. c

  colisian Member

  #18
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wema anapendwa sana sema sijui kama akili uake inafanya kazi vizur
   
 19. Solita

  Solita Member

  #19
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Nani kama mama? wahenga nao hawakufafanua mama wa aina gani maana kama mama anajigamba kumtengeneza mwanae hapo kuna nini tena!
   
 20. Emilia

  Emilia JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani kumtukana Wema inatosha,mama yake mngemwacha tu hata kama yukoje ni mtu mzima
  ni sawa na mama yako.

  Halafu hii dhana ya kila mtu akikosea kusema Elimu,Elimu,Elimu...sio kweli, hakuna watu waliokua na hekima, busara na wastaarabu kama bibi na babu zetu huko nyuma na hawakusoma hata darasa moja.
  Ila muafrika akiwa tu na degree, kila kitu mtu akikosea utasikia ni kwa vile hana elimu
  yaani anakua Limbukeni kupitiliza.
   
Loading...