Kwa big brother fans tu


Binti Magufuli

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Messages
7,486
Likes
814
Points
280
Binti Magufuli

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2011
7,486 814 280
Huyu mdada Betty wa ethiopia na Msieraleone (Bolt) naona wao wameenda kungonoka tu. Video za VIP ukizicheki ni wao wakila mambo flani.....kweli day 3 tayari tundi linaliwa? toka mchezo uanze wamekulana mara 3 (hizi ni zile zilizopostiwa je zingine zisizoonekana?)
mhhh Kweli kwa mtizamo wangu BBA naona ni kimapenzi na ngono zaidi. nilikuwa sio mfwatiliaji wa shindano hili huko nyuma so nilikuwa sijalielewa vizuri ila mwaka huu nimeona nijikite zaidi ili kujua ni nini hasa linahusu. Kila siku ni kutafuta na kulazimishia pair tu.

Labda kama kuna dhima nyingine ya shindano hili kulingana na mtizamo wenu mniambie....! mpaka sasa mimi ninaona ni kama kuwakusanya vijana wakangonoke then uwape hela

Angalizzo: Nimweka heading ya namna hiyo ili kama unaona wewe havipandi upotezee tu
 

Forum statistics

Threads 1,273,280
Members 490,351
Posts 30,476,446