Mzee "small" mgonjwa

mdeki

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
3,300
466
Kupitia kipindi cha hotmix EATV watanzania tunaombwa kumsaidia huyu mzee. Tena anasema Jk ni rafiki yake walikuwa wote UVccm(siyo hii ya sasa) kwahiyo anaomba naye amtembelee
 
Mbona taarifa yako haijitoshelezi? Iongeze nyama ueleweke.

Tiba

a
 
Mbona taarifa yako haijitoshelezi? Iongeze nyama ueleweke.

Tiba

a
Yule muigizaji maarufu kwa jina la mzee small anaumwa ugonjwa wa kupalalaizi mkono pamoja na mguu wa upande mmoja.anaomba msaada wa matibabu, wakati anahojiwa na mtangazaji akasema hata rais ni rafiki yake wa siku nyingi tokea enzi za Umoja wa vijana kwa hiyo anaomba msaada wa gharama za matibabu.
 
wasanii wetu wanaibiwa kazi hadi wanakufa maskini mfumo wetu hovyo kabisa ,angekuwa muimbaji mngesema clauds wanahusika.du pole sana mzee small
 
Kwa ujumla bado hakuna mfumo rasmi wa kuwafanya hawa watu wasihangaike hivi. Yaani mzee ukimcheki anatia huruma sana unawezafikiria anaigiza we kama unajua lini kipindi kinarudiwa tazama uone dah!
 
Yule muigizaji maarufu kwa jina la mzee small anaumwa ugonjwa wa kupalalaizi mkono pamoja na mguu wa upande mmoja.anaomba msaada wa matibabu, wakati anahojiwa na mtangazaji akasema hata rais ni rafiki yake wa siku nyingi tokea enzi za Umoja wa vijana kwa hiyo anaomba msaada wa gharama za matibabu.

Mdeki, asante kwa maelezo ya ziada. Huyu Mzee namfahamu kwa karibu na katika mazingira fulani niliwahi kufanya naye kazi kwa karibu wakati wakiwa katika kikundi cha Muungano Theatre Group chini ya uongozi wa Norbert Chenga. Ningependa kuchangia matibabu yake lakini je anapatikana wapi? Naweza pata namba yake ya simu?

Natanguliza shukrani.

Tiba
 
Back
Top Bottom