Darubini kali: Asiyekuwepo machoni, na lake halipo

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,670
“Asiyekuwepo machoni, na Moyoni hayupo – Someone who is not in sight, is not in the heart”
‘ndugu zetu wanaanza kusaulika taritibu katika tasnia ya sanaa Tanzania – hasa wa kizazi kipya, inabidi tutafute jinzi ya kuwa enzi jamaa zetu’

- Mr. Ebbo (Abel Loshilaa Motika), Steve 2K , John Mjema, James Dandu, Steven Kanumba, Mlopelo, John Steven Maganga, Juma Sadick kilowoko (Sajuki), Albert Mangwea, Rose Thomas, Sharo milionea n.k

=
Abel-Loshilaa-Motika.jpg

=
Cool+James.jpg

=
1369182042.jpg

=
Steven-Kanumba.jpg

=
5216918203L.jpg

=
Sharo.jpg

=
Albertmangwea.jpg

=
JOHN+MJEMA.jpg

=
...wote waliokuwa kioo cha jamii, wanatakiwa kuenziwa katika Music Awards zinazofanyika kila kukicha, kwani wametoa mchango mkubwa kwa taifa letu... na hasa kwenye tasnia ya sanaa ya muziki na sinema...
=
kilimanjaro_tanzania_music_awards.jpg

=
Kilimanjaro%2BTanzania%2BMusic%2Bawards.jpg

=
music-awards.jpg

=
AMAA-2013.jpg

=
African-Film-Development-Awards_ghanalive.tv_.jpg

=
 
Steve 2 k na John Mjema ni watu wawili tofauti.

Kili Music Award muhasisi wake ni James Dandu ambaye aliomba ufadhili TBL, Kama nchi hii inathamini watu basi tuzo hizi zinapaswa kuitwa James Dandu Awards kama heshima kwa muhasisi.
 
Steve 2 k na John Mjema ni watu wawili tofauti.

Kili Music Award muhasisi wake ni James Dandu ambaye aliomba ufadhili TBL, Kama nchi hii inathamini watu basi tuzo hizi zinapaswa kuitwa James Dandu Awards kama heshima kwa muhasisi.

mkuu matola hakika umenena no comment on this just implementation.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom