Music on the Stage Hii Technology imenikosha roho vibaya


Profesa

Profesa

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
903
Likes
99
Points
45
Profesa

Profesa

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
903 99 45
Waungwana wapenzi wa Muziki, hapa nilikuwa katika kujiburudisha kwenye Youtube, kwekweli show nzima ni ya kufa mtu, ila sehemunilyouchoka ni pale ambapo waliweza kutumia technology na kuweka image ya TuPac akiwa na snoopy live kwenye stage, Snoopy alikuwa yeye na TuPack ilikuwa ni animation ya video lakini wanainteract wakiwa kwenye stage kama mtu kamili. Cheki Track hii kwenye 0:51:00 min

 
Last edited by a moderator:
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Messages
6,892
Likes
3,515
Points
280
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2010
6,892 3,515 280
Waungwana wapenzi wa Muziki, hapa nilikuwa katika kujiburudisha kwenye Youtube, kwekweli show nzima ni ya kufa mtu, ila sehemunilyouchoka ni pale ambapo waliweza kutumia technology na kuweka image ya TuPac akiwa na snoopy live kwenye stage, Snoopy alikuwa yeye na TuPack ilikuwa ni animation ya video lakini wanainteract wakiwa kwenye stage kama mtu kamili. Cheki Track hii kwenye 0:51:00 min

Lovely! lovely !lovely! and ended up watching the whole thing!you can note huge diff with our stage performances putting aside the techy involved!
 
Last edited by a moderator:
K

kisukari

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Messages
4,237
Likes
1,735
Points
280
K

kisukari

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2010
4,237 1,735 280
du nilizani unaongelea kili award.naona f f nyingi tu
 
Profesa

Profesa

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
903
Likes
99
Points
45
Profesa

Profesa

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
903 99 45
du nilizani unaongelea kili award.naona f f nyingi tu
kisukari ni kweli hilo neno wanalotumia ni utata, ila katijka jamii hii ndivyo jinsi wanavyowasiliana na audience yao ambapo huwawanaeleweka ziaidi kwa kutumia neno hili. Ila katikati ya mashairi kuna maneno mazito sana na muhimu kwa maisha ya kila siku ya wanyonge, wapiganaji, kutoa matumaini na hata kupigania haki za watu mbalimbali wanaonyanyasika. Kaitja jamii yetu kutaja kitendo hiki ni mwoko. Hata kutaja viungo vya mwili vilivyofunikwa na guo wakati wote na ambavyo aghalabu huonekana hasa na wasiri wao ni mwiko. lakini tofauti yake ni ndogo na ngma zetu ambazo badala ya kutaja kitendo hiki hukonyesha kwa maungo yao na ngoma nyingi za kwetu Arika husisitiza uhusiano katika kitendo hiki kwa maungo yao wakati wanacheza. Ujumbe ni nini? "Fertility" au nijaribu kutafsiri uzazi na zoezi husika linaloleta uzazi. Ukweli ni kuwa zzoezi hilo ambalo wenzetu hulitaja kwa jina ni zoezi linaloshabikiwa na binadamu wengi wakiamini ni ishara ya hali yako kijinsia iwapo unalifurahia. Tumlaumu nani? Watunza nidhamu? watunza maadili? Viongozi wa Dini? Hapana yeto ni mema na yana makusudi mahususi ila ni vema kuelewa mantiki ya matumizi ya lugha katika jamii mablimbali kutokana na jinsi wanavyowasiliana na maneno wanayotumia, na hapo unaweza kugundua vingi hasa vinavyotofautiana na vyako na vyako vinapotofautiana na vingine na maana na kadhalika. Kila la kheri ila enjoy mashairi na fuatilia kwa maikini utasikia mengi yenye maana, ukiacha hayo machache yenye kuleta utata katika jamii yetu.
 

Forum statistics

Threads 1,273,490
Members 490,428
Posts 30,483,186