Diamond Platinum: Mazuri na mabaya yake pia ushauri kwake

Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
3,065
Likes
636
Points
280
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
3,065 636 280
Mimi ni shabiki mkubwa wa muziki wa Bongo Flava haijalishi Hip Hop ama kuimba.
Wote kwangu ni wasanii na siwabagui.
Ni ukweli usio fichika kuwa kwa sasa huko tz nchini mwangu msanii Diamond ama Nasbu,ni moja ya wasanii alioko midomoni mwa watu na vyombo vingi vya Habar kutokana na sababu mbalimbali kiwa ni pamoja na kufanya vizuri katika muziki.
Nimekuwa nikifuatilia muziki wa msanii Huyu(diamond)tangu huko mlaka anapokuwa huku Ughaibuni kusganya shoo(simaanishi niko uingereza ama marekani).
Kwa mtazamo wangu msanii huyu ana mazuri na mabaya kama ifuatavyo..
Mazuri:
1.Ni msanii anayejituma kwa bidiii sana kufanya musiki na kubuni kila siku ili kuweza kumentain na kukaa katika game kwa muda mrefu. Miaka minne sasa.
2.Hajihusishi na starehe sisizo kuwa na msingi,na hutunza kile akipatacho kutokana na shoo zake.
3.Hajikwezi sana na kiona yuko juu na kuwadharau wengine,bali hujinyenyekeza kwa kila akutanaye.
4.Hujali na kujitahidi kufanya maendeleo kwa kadri ya uwezo wake na pia mungu humbariki katika hili.
5.Hukubali kutumia ghalama nyingi ili kufanya shoo iliyo bora.na hivo huvuta hisia za wengi kwa ubunifu na mavaz yake.
6.Hana pozi kwa mashabiki ama waandishi wa habar na husema kwel kila anachoulizwa kama kinaukwel huwa muwaz.
7,.Hana majigambo na dharau kama wasanii wengine ambao hufikia hatua aliyopo.
8.Hana makundi ya kihuni na magenge ambayo hupika majungu na mwisho wa siku kummaliza msanii pole pole.
9.Hujituma akiwa jukwaani na hivo kufanya apendwe kila mahali.
Baada ya kusema hayo naomba sasa niseme mabaya yake ambayo binafsi siyafurahiii na kama akibadiljka kwa haya basi atakuwa msanii mzuri zaidi ya sasa.
Mabaya.
1.Kitendo cha kupiga picha na kuweka mtandaoni kila mara na kila anachofanya sio sahihi kwa msanii.sio lazima mashabiki wajue mambo yako ya ndani hasa ya.wapenzi na maisha ya kila siku.haya huyafanya hasa mwenye website yake kila mara.jaribu kuwa adim maana watu watakuzoea sama na kukuona wa kawaida em kuwa adim kidogo ili mtu akisikia diamond awe na ham.ya.kujua nini kimetokea.
2.Chunga sana mahusiano yako ya.kimapenzi na kamwe usimdhalilishe mwanamke hata kama hauko nae kwa wakat huo.rejea kitendo cha kumrekod wema
3.Usipende sana kujiweka cheap kwa vyombo vya Habar,kwamba kila anaye kuja we unamwambia mambo yako ya.ndan.narudia jaribu kuwa adim.
4.Usitumie muda mwingi kuwaongelea wapinzani wako maana wataona kwamba inakuuma kile wanachosema jitahidi kupotezea kama hujasikia.
6.Usiwe dhaifu kwa akina dada kiasi cha kuwaparamia kama vile huamini kwamba we ni staa na unastahili
7.Usipende kuzungumzia mahusiano yalopita ukizingatia una mpenzi mwingine.Sahau na funhua ukurasa mpya usionekane kwamba limbukeni ama ilikuuma sana kumwacha.
9.punguza kujianika sana katika Web site yako ya ''this is diamond'' kwa kila unalofanya.

Ni hayo tu tofauti na hapo jitahidi kushirikiana na wasanii wenzako.
Mnaruhusiwa kukosoa ama kuongezea kitu wana jamvi
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
32,742
Likes
15,105
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
32,742 15,105 280
Aache misifa kwani kijiti akikaacha itamghalimu amkumbuke mr 9c alifikia kuweka meno ya dhahabu kwa dollar three thou<4.8m> mwaka 2006 leo hii yuko wapi? Mr 9c alikuwa na zaid ya m300 kwenye acc leo akiwa na hata laki 3 sijui.
~Aache ulimbukeni jana alitupita pale mwananyala magengeni na prado yke T CAZ yani full kubinua kichwa juu kukitikisa mashauzi mia mia kuna watu wana lincoln navigator,escalade hapa town lkn wapo pc domo acha mbwembwe weka tint hyo prado yako
~Achana na kujenga majumba hovyo,nyumba 2 zinatosha,1 ya familia na nyingne biashara,kwa kua ulisema kwamba una zaid ya b nakushaur fungua investment ya maana nunua kiwanja upanga hata kwa m400 jenga hotel ya ghorofa hata 8 kwa 1.4b tafuta manager mzuri muweke utaingza hela mpaka wajukuu zako wataikuta
~kwa kuwa ushakuwa na penny jenga maisha achana na mamburula wengne papuch haziishi na wala hautomaliza tulizana hauwez mdatisha m/ke wa sasa kwa hlo mandingo wanawake wapo kibzna ndio maana wema alikuwa na mabasha zaid ya wa3 yl upo nae.
 
Umeongea point mkuu,tuko pamoja!!
 
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
11,305
Likes
1,633
Points
280
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
11,305 1,633 280
2.Chunga sana mahusiano yako ya.kimapenzi na kamwe usimdhalilishe mwanamke hata kama hauko nae kwa wakat huo.rejea kitendo cha kumrekod wema
Uliyosema mengi, kama sio yote ni sahihi! Hata kama sikubaliani nae moja kwa moja kwa upuuzi huu lakini mahojiano yake na Zamaradi yalinifanya nipunguze lawama zangu kwa Diamond dhidi ya Wema!! Dogo alikuwa anapoongea, ukimwangalia kwa makini unagundua kwamba anachoongea ndicho anachoamaanisha!! Dogo alizungumza wazi kwamba watu hawafahamu upande wa pili wa shilingi kuhusu mahusiano yake na Wema!! Hakika uvumilivu ambao aliufanya kwa Wema, hata mimi siwezi!! According to Diamond, alikuwa na Mahusiano na Wema wakati Wema ana bwana mwingine(buzi)!! Kwahiyo siku bi mdada anapoamua kwenda kwa buzi lake, anamwambia mchizi...na dogo anasema kwamba kwavile alikuwa anampenda sana, akawa anavumilia hivyo hivyo!! Mchizi anasema yote akayakubali....nd according to him, tatizo lilikuja pale Wema alipoanzisha uhusiano na mtu mwingine!! Kama unavyofahamu Darisalama kwa umbeya; watu wakamtonya kwamba ngoma kuna mahali inamegwa!! Dogo akaona majungu tu hayo na fitina za wanadarisalama....kupenda upofu ati!!! Hata hivyo, baadae akaja ku-confirm!! Mchizi akaona enough is enough, akapiga chini!!

Baada ya kupiga chini, bi. mdada akaanza visa; kwamba kila siku Diamond anamwaga machozi anataka warudiane lakini yeye(WEMA) hamtaki!! Dogo akaona hizi sasa kashfa, yaani nalilia punye mimi!! Kwa bahati mbaya, bi mdada mwenyewe akajiingiza kwenye matairi....akampigia simu Diamond na akaanza kulia lia warudiane!! Jama akaona ndo hapa hapa, si unanidhalilisha kwa mashost wenzake kwamba nalilia penzi lako; mchizi akaamua kumrekodi ili kukata mzizi wa fitina!!
 
Hahha sawa bana naona umeegusa pale pale,ni kwel kabisa unayosema lakini sipendezwi na tabia ya kuongelea mahusiano yaliyopita katika kila mahojiano,kuna mambo kibao ya kuonhelea ya maebdeleo.
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,229
Likes
20,261
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,229 20,261 280

Kama haya uliyoandika hapa yana ukweli basi utanifanya niwe na mtazamo tofauti na huyu dogo, nisichopenda kufanyiwa huwa sipendi Mwanaume mwenzangu afanyiwe. hii inatia hasira sana kama kuna ukweli wa hili.
 
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
11,305
Likes
1,633
Points
280
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
11,305 1,633 280
Kama haya uliyoandika hapa yana ukweli basi utanifanya niwe na mtazamo tofauti na huyu dogo, nisichopenda kufanyiwa huwa sipendi Mwanaume mwenzangu afanyiwe. hii inatia hasira sana kama kuna ukweli wa hili.
Unajua nini Matola,
Wakati mtu anaongea jaribu kuangalia facial expression, na kwa hakika facial expression ya Diamond ilimaanisha kabisa alichokuwa anaongea! Yaani alikuwa hadi anatia huruma pale alipofikia kusema "tatizo mwenzangu(Wema) ni msanii, anaweza kuigiza so kila kitu kilichokuwa kinatokea alikuwa anaonekana innocent, na mimi(Diamond) ndo nalikuwa naonekana tatizo" Na kama Diamond kasema uongo pale, basi ni bonge la msanii ambae unaweza kumkamata na anazini kitandani na hapo hapo akakataa kwamba anafanya massage na ukaamini hata kama watakuwa mtupu!
 
Last edited by a moderator:
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
11,305
Likes
1,633
Points
280
N

NasDaz

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
11,305 1,633 280
Hahha sawa bana naona umeegusa pale pale,ni kwel kabisa unayosema lakini sipendezwi na tabia ya kuongelea mahusiano yaliyopita katika kila mahojiano,kuna mambo kibao ya kuonhelea ya maebdeleo.
Mkuu wangu Free ideas,
Hapa duniani kuna baadhi ya mambo usipoyapenda utakuwa unajitia stress bure tu manake wengi utakuta ndiyo wanayapenda hayo hayo!! Binafsi, hata mimi nilikuwa so interested kufahamu shughuli zake lakini first session hadi inaishia, maongezi yalitawaliwa na masuala ya mapenzi coz' ndo maswali ambayo alikuwa anaulizwa na Zamaradi!! Na wala huyo Zamaradi simlaumu manake inaelekea anafahamu watazamaji wake wanataka nini; inakera lakini ndo dunia ilivyo!! Si unasikia hata huko ughaibuni habari za akina Kardashan pale watu walivyokuwa wanashindana kwamba "mimi" ndo nimemla akiwa mbichi....haya nayo yakapata press covearage....dunia ndo ilivyo!!!
 
Last edited by a moderator:
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
3,065
Likes
636
Points
280
Free ideas

Free ideas

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
3,065 636 280
Mkuu wangu Free ideas,
Hapa duniani kuna baadhi ya mambo usipoyapenda utakuwa unajitia stress bure tu manake wengi utakuta ndiyo wanayapenda hayo hayo!! Binafsi, hata mimi nilikuwa so interested kufahamu shughuli zake lakini first session hadi inaishia, maongezi yalitawaliwa na masuala ya mapenzi coz' ndo maswali ambayo alikuwa anaulizwa na Zamaradi!! Na wala huyo Zamaradi simlaumu manake inaelekea anafahamu watazamaji wake wanataka nini; inakera lakini ndo dunia ilivyo!! Si unasikia hata huko ughaibuni habari za akina Kardashan pale watu walivyokuwa wanashindana kwamba "mimi" ndo nimemla akiwa mbichi....haya nayo yakapata press covearage....dunia ndo ilivyo!!!
Nimekuelewa,sawa kabisa
 
Last edited by a moderator:
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
32,742
Likes
15,105
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
32,742 15,105 280
Domo asipoangalia kuna mafioso kibao watemlengeshea demu wao then atakuja liwa kiboga au kuingizwa king madafu yake
 
Forum statistics

Threads 1,272,333
Members 489,924
Posts 30,447,852