Kuna taarifa zimezagaa hapa mjini ifakara kuwa mwanamziki Diamond ameachwa solemba kwenye hotel aliyofikia ya Mbega Motel iliyopo hapo kibaoni. Taarifa zinatonya walikuwa na makubaliano na ccm...
Wasanii classic,next level na wenye majina makubwa apa bongo,wema sepetu na jackline wolper wamemwagwa kwenye kinyang'anyiro cha muigizaji bora wa kike,waliokuwa wanawania tuzo za mwigizaji bora...
Haitaji kutambulishwa,kila mtu anamjua,ila kidogo tu alikuwa miss tanzania,baada ya apo akaanza kuigiza movie ambazo hata hivyo hajawahi kufanya vizuri kihivyo zaidi ya kibebwa na umbo lake na...
Siku ya Ijumaa Usiku ilikuwa ni siku ambayo MwanaFA alikuwa akifanya show yake ya 'The FINEST'.
Huenda ikawa ni moja ya siku chungu zaidi kwa mwanamuziki huyu maishani mwake kila atakapoikumbuka...
Wadau, nimefuatilia threads mbalimbali humu jamvini tangu show mbili zilizo andaliwa na moja ya wakongwe wa muziki wa kizazi kipya hapa Bongo kupita. Ukweli ni kwamba, nashangazwa sana jinsi...
eti the finest SHOW ILIHITAJI WATU 400 TU!! Acha uwongo kaka! SHOW YA MWANAFATUMA ILIKOSA WATU!! Ayo maneno yako kwenye blog yako yanadhihirisha jinsi ulivyo mtumwa wa fikra!! Tunajua ni RUGAY...
Jana ulikuwa ni usiku wa jide,kwani alikuwa anasherekea miaka kumi na tatu ndani ya game apa bongo,vile vile alikuwa anazindua albamu yake ya nothing but the truth,show ki ukweli ilikuwa kubwa...
Hii ni hadhira iliyohudhuria onyesho la mwanamziki lady jay dee usiku wa kuamkia leo..
Haya ni matukio ya mwanzomwanzo kabla shughuli yenyewe haijaanza..Nyumbani Lounge
Hakuna kitu kibaya kama nguvu ya umma. Kuna vitu mnavyofanya kwa wasanii vinatukera sana sisi wasikilizaji wa radio yenu kama kuendeleza ugomvi na wasanii.
Binafsi naacha rasmi kusikiliza radio...
Nimeshangaa sana eti kusikia show ya mwana fa haikufanya vizuri kutokana na kuwa eti kuna watu walitangaza kuwa ticket zimeisha ndo maana wengi hawakwenda,aliyetangaza kuwa ticket zimeisha ni...
Jana mwana fa na show yake haikufanya vizuri kama ilivyokuwa kwa jide,jide kafunika aiseeh,parking haikutosha watu mpaka nje wamesimama ilimradi tu wampe support anaconda,kwa kweli imeleta sana...
Miongoni mwa wanamuziki ninaowakubali ni Bushoke mwana wa Maxmillan(?)..sauti na idea zake mara nyingi huleta burudani kwa msikilizaji..Moja katika nyimbo zake nzuri ni "Msela jela",wimbo...
Mwanamuzik chipukizi Ommy Dimpozi,ameonyesha kuwa na kiwango cha juu sana cha dharau kwa kumdhihaki na kumtusi mtu aliyetangulia mbele ya haki."SITAKI NIKIFA YATOKEE KAMA YA NGWAIR,AMEKUFA AFRIKA...
namshauri mdogo wangu Sugu akuwe sasa aachane na mambo ya starehe na uuni wa kishamba afanye kazi ya jimbo....watu wa mbeya wenyewe wanamfananisha na jiwe kwa kusema"tunachagua jiwe kuliko mtu...
Nimekuwa nikijiuliza sababu iliyomtoa msanii na mwanahabari mwenye kipaji cha aina yake pale radio ya watu bila kupata majibu yake. Je kuna mdau anayejua au yeye mwenyewe anawezakua humu ndani atujuze
Ama kweli hii nchi haipendi maendeleo,mzee Tido alikuja kufanya mapinduzi Tbc,but wakampindua yeye hii sirikali sijui ikoje....ONA SASA LEO TUNA KOSA MECHI ZA MABALA CUP.....