Clouds mjirekebishe

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,620
21,349
Hakuna kitu kibaya kama nguvu ya umma. Kuna vitu mnavyofanya kwa wasanii vinatukera sana sisi wasikilizaji wa radio yenu kama kuendeleza ugomvi na wasanii.

Binafsi naacha rasmi kusikiliza radio yenu leo tarehe 15/06/2013 ma kama kuna watu mnaniunga mkono gonga like hapa
 
hakuna kitu kibaya kama nguvu ya umma. Kuna vitu mnavyofanya kwa wasanii vinatukera sana sisi wasikilizaji wa radio yenu kama kuendeleza ugomvi na wasanii.

Binafsi naacha rasmi kusikiliza radio yenu leo tarehe 15/06/2013 ma kama kuna watu mnaniunga mkono gonga like hapa
ona kitambi chake kilivyo kikubwa ukiacha wewe ndo nini kama huna cha kuandika kaa punguza kitambi!na iyo sio avatar ni picha yako halisi.
 
Kaazi kweli kweli...yetu sie macho tuu..

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mkuu binafsi niliacha muda mrefu. Si kwasababu ya bifu na wasanii ila niligundua unatakiwa kuwa na akili ya uendawazimu ili uweze kuelewa hoja za watangazaji hasa Ki..nde. Niliacha wakati hata Gadna bado yupo pale nasikia naye alisha hama. Sijazoea maisha ya kufanya kazi kwa kujikomba kwa watu. Call a spide a spide, sasa watangazaji wake ilifikia hatua wanachangia hoja kama hawana akili kumkichwa. Nikaona si vema kung'ang'ania redio yao nikapiga chini hadi Tv. Nikianza kuchambua udhahifu wa watangazaji wake haitakuwa poa itaonekana nawashambulia personally. Sioni nilichopungukiwa hadi sasa.

Bado wanayo nafasi ya kujirekebisha na kufanya vizuri. Si jambo zuri kusikia watu wengi wanakulalamikia nawe usichukue hatua ya kujitathmini.
 
wenzako 2liacha zamani!

kama kweli uliacha kusikiliza zamani just nitajie redio ambayo kwa sasa unaipenda na kusikiliza,nitajie vipindi vyake japo vinne,watangazaji wa vipindi na muda wa vipindi then linganisha ubora wake na vipindi japo viwili tu vya clouds media.
 
Nyie mnaojifanya kuichukia Clouds ndiyo wasikilizaji nambari wani kabisa na ndiyo wa kwanza kuleta vijimada vyenu huku kuhusu Clouds.

Acheni uongo na unafiki wenu.
 
Mkuu binafsi niliacha muda mrefu. Si kwasababu ya bifu na wasanii ila niligundua unatakiwa kuwa na akili ya uendawazimu ili uweze kuelewa hoja za watangazaji hasa Ki..nde. Niliacha wakati hata Gadna bado yupo pale nasikia naye alisha hama. Sijazoea maisha ya kufanya kazi kwa kujikomba kwa watu. Call a spide a spide, sasa watangazaji wake ilifikia hatua wanachangia hoja kama hawana akili kumkichwa. Nikaona si vema kung'ang'ania redio yao nikapiga chini hadi Tv. Nikianza kuchambua udhahifu wa watangazaji wake haitakuwa poa itaonekana nawashambulia personally. Sioni nilichopungukiwa hadi sasa.

Bado wanayo nafasi ya kujirekebisha na kufanya vizuri. Si jambo zuri kusikia watu wengi wanakulalamikia nawe usichukue hatua ya kujitathmini.

mi kitambo sana siwezi kukaa kusikiliza promo za uliberali au yale maporojo yao jioni
 
CLOUDS IS LOOSING ITS POPULARITY....kwa sababu wana watangazaji wa ajabu ajabu ambao kama wana akili za kitoto kitoto...ukiacha ayo, husein labda na jamaa wa michezo wale na dr issac...wengine wanatia mashaka kwenye uwezo wao wa kuangalia na kuchambua mambo...Na pia wana ule ujinga wa kujidai wanajua kila kitu.....nawafananisha na fox news sasa hivi us..watu wanawapiga vita sana marekani ...wanawatuhumu wanaiaribu America....nao ni hivyo ujuaji mwingi hawana facts...watangazaji wao kukaa kinondoni na hapo mikocheni basi wanaona wanajua kila kitu.....MANAGEMENT IKAE ITAFAKARI...WAACHE UJINGA NA UTOTO
 
Kusema kweli kipindi ambacho naona watangazaji wake wako serious zaidi ni kipindi cha Sport Extra tu.
Vipind vingine yaan utafikili ni maigizo,
Mfano wakat BONGE na PJ wanaongea kwenye BF yaan utafikiri ile Redio watu wote wanaosikiliza wakati huo ni labda watoto vile kwa jinsi maongezi yao yanavyokuwa.
 
ona kitambi chake kilivyo kikubwa ukiacha wewe ndo nini kama huna cha kuandika kaa punguza kitambi!na iyo sio avatar ni picha yako halisi.

Rugay hebu relax......
na wewe weka Avatar yako halisi tuone sio unabwabwaja tu
 
kama kweli uliacha kusikiliza zamani just nitajie redio ambayo kwa sasa unaipenda na kusikiliza,nitajie vipindi vyake japo vinne,watangazaji wa vipindi na muda wa vipindi then linganisha ubora wake na vipindi japo viwili tu vya clouds media.

halafu akishalinganisha!!!!!!
ubora ungekuwa haupo si angekuwa amesharudu Kilaudisi efu emu
 
nasubiri siku makampuni makubwa yanayopeleka matangazo ya biashara kwenye hicho kituo yatangaze kuacha kupeleka matangazo huko ndipo tujadili kifo yao but kwa sasa no ting wil change
 
nasubiri siku makampuni makubwa yanayopeleka matangazo ya biashara kwenye hicho kituo yatangaze kuacha kupeleka matangazo huko ndipo tujadili kifo yao but kwa sasa no ting wil change

Afadhali wewe umeonyesha uelewa! Hawa wengine ni kelele tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom