tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Revola

    Msaada Tafadhali

    Computer yangu HP inaniletea haya maandishi shida inaweza kuwa nini please
  2. GENTAMYCINE

    Mlio jirani na Kikosi cha Simba SC tafadhali zingatieni haya Maelekezo muhimu ninayowapa kabla ya Derby ya baadae leo

    1. Timu ibadili njia ya Kupitia hasa Kuingia Uwanjani kwani tumetegwa katika Mageti mawili. 2. Wachezaji wa Simba SC wakati wa Kusalimiana wasipeane Mikono na wa Yanga SC bali wagonge Ngumi tu. 3. Mchezaji wa Simba SC ambaye leo atabeba Mzigo ( Ndumba ) ya Timu afanye kila awezalo asiwe...
  3. Truth Bot AI

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu...
  4. Ngwega

    Msaada tafadhali

    Nilipata ajali boda boda kagonga gari langu kwa nyuma na kusababisha uharibifu mkubwa tu. Sasa nashanga naambiwa eti kila mtu atengeneze chombo chake hii wanasheria humu ndani imekaaje? Msaada tafadhali
  5. LIKUD

    Kuna mtu kawauliza swali wanaosema "Mungu hafananishwi na kitu chochote" wameshindwa kujibu wanamtukana na kumpa vitisho. Mpeni majibu tafadhali

    Ilikuwa kwenye mjadala kuhusu maoni ya Harmonize kwamba katika miaka ishirini aliyo ishi duniani amegundua kwamba huenda Mungu ni mwanamke.. Wenye dini zao wanasema Harmonize apigwe mawe kwa sababu amekufuru na kwamba " Mungu hafananishwi na kitu chochote kile" Swali la jamaa lilikuwa: 1...
  6. X

    Barua ya udhuru mahakamani

    Naomba kuelekezwa na mfano wa barua ya kuomba udhuru, kutohudhuria siku ya kesi mahakamani mahakama ya mwanzo.
  7. D

    USHAURI: Niende Advance au chuo?

    Habari, Nimehitimu mwaka jana nimefaulu masomo yote na pia na division 1 lakini nilikuwa na ndoto za kusomea mambo ya technogy ikiwemo computer science Mpaka sasa nina utata niende Advance au chuoni. Nimejaribu kuchukua ushauri wa watu mbalimbali kuna ambao wananishauri niende chuo nikasome...
  8. christophany

    Msaada: Natafuta kazi ya kufanya. Ni mwepesi kujifunza kazi yoyote

    Habari wanajukwaa wa JF Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 31 elimu yangu ni kidato Cha sita(6) naomba msaada wa kupata kazi yoyote itakayoniingizia kipato ili maisha yangu yaende , Unaweza jiuliza umri huo na elimu ya kidato Cha sita ilikuwaje ? Kimsingi nilimaliza kidato Cha sita 2013...
  9. GENTAMYCINE

    Tafadhali sitaki Kusikia Kisingizio hiki timu fulani ikifungwa nyingi Ijumaa na kutolewa rasmi CAFL

    "Tumetolewa kwa Kuonewa kwakuwa Mmiliki wa Timu ndiyo Boss Mkuu wa Kafu Afrika hivyo Waamuzi walimuogopa ili kulinda Vibarua vyao" amesema Boss Klabuni Mrembuaji Makengeza. Na muda si mrefu nimetoka Kumsikia EFM Radio (Kipindi cha E-Sport) Boss Mrembuaji Makengeza akisema na akikanusha kuwa...
  10. GENTAMYCINE

    Hii tabia ya Wanamichezo kumsifia Rais wa nchi kwenye kila jambo tuiitaje?

    Leo Mashabiki wa Vilabu vya Simba na Yanga wamehojiwa na Wanahabari (Media) na Kilichonishangaza hasa GENTAMYCINE ni kusikia Mashabiki hao wakitumia dakika Tano Kumsifia Rais Samia huku wakitumia Sekunde 30 tu Kuziongelea na Kuzisifia Simba na Yanga. Hivi ni nani Aliyewaroga sasa baadhi ya...
  11. Pinda Nhenagula

    Naomba ushauri tafadhali

    Habari za wakati huu wapendwa kuna kitu kwa kweli kimenitokea nikaona kama kuna madhaifu kwangu au la . Jana nimelala na mwanmke bwa na nilikuwa nime dhamiria kufanya mapenz. Kanishika uume ukad!nda na hapo akanivisha k0nd0m na hapo nikamuingilia cha ajabu uume ukalegea ghafla daah yaan ukagoma...
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Msaada Tafadhali: AC ya Toyota Alphard kupiga kelele

    Nimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia. Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
  13. Fundi kipara

    Watumiaji wa DLS 2024 pitieni hapa tafadhali

    Wasaalam Natumai Hamjambo Kabisa...!! Wakuu nisaidieni jinsi ya ku connect DLS 2024 nataka kutembeza kichapo mahali halafu mtu nnaetaka kucheza nae yupo Marekani. Mie nipo Tanzania msaada tafadhali
  14. G

    Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

    Habarini za humu wadau, Mimi ni kijana naishi hapa jijini Dar, nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku. Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana, ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia.
  15. K

    Msaada wa kurekebisha fonts za TV yangu

    Habari zenu wana jamvi, naomba tusaidiane. Nina TV aina ya Sundar (sio Smart). Ina-support Flash driver na ina-load subtitle vizuri kwenye video. Tatizo linapokuja ni kwamba, siwezi kuongeza FONT ya subtitle. Kwenye User Manual kumeeleza kila kitu, kasoro namna ya kukuza Subtitle tu. Sasa...
  16. F

    Mbowe usifanye kosa la kuachia Uenyekiti CHADEMA kabla ya 2030 vinginevyo tutarudi miaka ile myeusi (1995)

    Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030. CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na...
  17. GENTAMYCINE

    Tafadhali naomba leo Saa 3 Usiku tusipoteane hapa Jukwaani JamiiForums!

    Mlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo. Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
  18. The unpaid Seller

    Kama haujawahi kunywa energy drinks Hongera na Jiepushe nazo. Kama umezoea kuzitumia Tafadhali weka mpango wa kupunguza na kuacha

    Peace, Awali ya yote niweke wazi andiko langu halina kusudi la kuhafifisha au kuathiri biashara ya mtu yeyote ila ni ushuhada wa kweli na dhairi wa watu wanaonizunguka. Nimekuwa nikisikia na kuona vijana wengi wakipendelea vinywaji vya kusisimua mwili alimaarufu "energy drinks" ziko za aina...
  19. Chawa wa lumumbashi

    Tafadhali jamani aisee! Kwa mujibu wa ukoo wa marehemu mimi ndiye mrithi sahihi wa mke wa marehemu

    Wajameni mimi ni mswahili kabisa na sifa moja ya mswahili ni ustaarabu na uadilifu aisee na wala sihitaji ugomvi na mtu yoyote ile aisee siku moja kabla ya msiba wa ndugu yetu tulikaa kikao na nikachaguliwa moja kwa moja kuwa mrithi sahihi wa mke marehemu mzungu wa nywele si mnaelewa...
  20. M

    Fredrick Lowassa: Kama sio Rais Samia, Baba asingefika juzi

    "Baba ni mpambanaji alipambana sana mpaka dakika ya mwisho lakini kwa yaliyotokea tunasema ni kazi ya Mungu na kama familia tulipokea kwa amani kabisa, tunasema acha baba apumzike" "Lakini katika vita yake hii ya kupigania maisha yake lazima niseme kipekee naomba sana kutoa shukrani za familia...
Back
Top Bottom