mpya

  1. K

    Trend mpya mjini kwanini Matairi yalitumika yananunua sana

    Wakuu embu tujuzane matairi yaliyotumika hawa wanaonunua wanaenda kufanyia nini? Maana hapa nimepewa ofa nisijeachia mali kwa bei rahisi.
  2. K

    Wana CCM wazalendo ungeni mkono demokrasia, katiba mpya kwa manufaa ya nchi yetu

    Kuna watu wengi ambao wapo CCM na ni wazalendo. Lazima muelewe sio matakwa yote ya CCM ni kwa faida ya nchi kuna mambo mengi sana ambayo ni kwa mafanikio ya tabaka la utawala ndani ya CCM. Tabaka hili lenye mtandao mkubwa ni wale wakubwa ambao ndiyo wanafanya maamuzi ikiwa ni pamoja na kuingiza...
  3. Erythrocyte

    Taarifa mpya kuhusu Boniface Jackob na Malissa hii hapa

    Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
  4. L

    Kampuni ya China kupata kandarasi ya kujenga Uwanja Mpya wa Soka Tanzania ni mwendelezo wa ushirikiano katika kuboresha miundombinu

    Katikati ya mwezi Machi serikali ya Tanzania ilitangaza kuwa Kampuni ya Uhandisi wa reli ya China (CRCEG) ilishinda zabuni na kupata kandarasi kujenga uwanja mpya wa soka mkoani Arusha, na kusaini makubaliano na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania. Uwanja huu utakuwa ni sehemu ya...
  5. Dalton elijah

    Inter Milan Bingwa Mpya Wa Seria A

    After Napoli's spectacular year in the 2022-23 season, Inter Milan have reclaimed their golden sceptre and won a Serie A that they have dominated with an iron fist. No one has been able to even come close to Simone Inzaghi's side, who lift the title in the most special of matches and with five...
  6. Stephano Mgendanyi

    Ajira mpya kupelekwa kwenye zahanati zenye uhaba wa watumishi

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali inatarajia kutoa kipaumbele katika zahanati zilizo na mtumishi mmoja kwa kuongeza idadi ya watumishi katika ajira mpya zitakazotangazwa ili waweze kutoa huduma bora kwa wananchi. Dkt. Dugange...
  7. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kutumia Bilioni 33 Kusambaza Maji Jijini Dar es Salaam, Kibamba Yapata Bilioni 13.9 Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025

    "Ipi kauli ya Serikali ya kutokamilika kwa miradi ya Maji katika Jimbo la Kibamba?" - Mhe. Issa Jumanne Mtemvu, Mbunge wa Jimbo la Kibamba "Serikali imekamilisha ujenzi wa miradi mitatu ya usambazaji wa maji kutokea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi Bagamoyo (2B2F), Mshikamano na Kitopeni...
  8. Gulio Tanzania

    Kuna utapeli mpya umeingia nchini wanaigeria kuweni makini

    Kuna utapeli mpya bila shaka ni wanaigeria Kuna kitu linaitwa task mtu yupo tayari akutumia hata laki bure ila ukijaa lazima uliwe🤣🤣 Kuna jamaa yangu alikuwa anapitia kipindi kigumu maisha kupewa fursa ya task akahisi ni Mungu amemshushia neema kutumiwa pesa za bure kumbe wajuba wapo kazini nao...
  9. Candela

    Tahadhari: Mbinu mpya wizi wa pesa vijana wanaosajili laini za simu

    Kama unasoma uzi huu basi u buheri, pole kwa wenye changamoto. Hawa vijana wanaosajili laini za simu mitaani wamekuja na mbinu mpya kukuibia pesa. Wanatumia app za kampuni husika, TIGO PESA APP AU MPESA APP n.k. Wanawahadaa wateja kuwaunga 5G wapate intaneti yenye kasi bure kama ofa...
  10. Binadamu Mtakatifu

    Computer4Sale Nauza PC Kalii bado mpya

    Ssd 239 Ram 8 Touch screen Core i5 gen 7 Bei 500k njoo tuzungumze 0753865861
  11. A

    KERO Taasisi za Umma zinatangaza mashindano/kazi ya ubunifu wa nembo zao mpya kwa wabunifu halafu wanapotelea mitini na hawabadili

    Mfano mwaka 2017 Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitangaza shindano la Ubunifu wa Nembo yake mpya kwa wabunifu mbalimbali, wa vyuoni na wa mtaani, walitangaza mshindi atapatikana mwaka unaofuata, lakini mpaka leo 2024 hawajabadilisha. Taasisi nyingine ni TPDC na TARURA
  12. C

    Katiba Mpya ni sasa

    Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie Mtanzania Mnyonge, Msaka Tonge, Niliyesoma shule ya Saint Kayumba ya Kidumu na Ufagio kisha Sekondari ya Kata naomba kwenye hiyo Katiba Mpya Kama kweli itakuja basi iwepo sheria ya kuwanyonga Mafisadi...
  13. MK254

    Iran ilitumia silaha aina mpya kisiri na zote zilipigwa chini kizembe, aibu sana

    Israel wanaendelea kukagua kila aina ya silaha iliyoshushwa... Kadiri silaha zao Iran zilivyopigwa chini ndivyo walipata hasira na kujaribisha aina mpya silaha za siri walizokua wameficha, na zenyewe zilishushwa, hii ni aibu sana kwa Iran na wavaa dera wote wanaoshabikia ugaidi wa dini...
  14. BARD AI

    Hashim Rungwe: Kama tatizo ni muda, Rais Samia aongezewe muda ili tupate Katiba Mpya ndio tufanye Uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesema hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi mkuu mwakani bila kuwa na Katiba mpya. Anasema haamini kama Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi pekee inatosha kuufanya uchaguzi kuwa huru na wa haki kama Katiba haitarekebishwa...
  15. D

    Tanesco mmekubali kutumika kudai kodi ya majengo (TRA) kinyume na mkataba wenu? Kwa hili Tutawashitaki; serikali hamna huruma

    Hiki ni nini serikali imefanya? Yaani majukumu ya TRA wameyaingiza TANESCO ili iweje! Kodi ya jengo, kodi ya ardhi ni miongoni mwa kodi za kizamani sana zilizopitwa na wakati kama ile kodi ya kichwa! Ni utwana uliopitiliza kuendelea kukusanya kodi hii kibabe! Sheria ziko wazi kabisa kwamba...
  16. BARD AI

    Serikali kutumia Tsh. Bilioni 190.57 kununua V8 mpya za Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Ujenzi wa Makazi na Utawala

    Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na ujenzi, ukarabati na ukamilishaji wa miundombinu ya Mikoa ikiwemo majengo ya utawala, Ikulu ndogo...
  17. Mwafrika mmoja

    Pikipiki Boxer mpya inauzwa njoo ibebe

    Habarini za Asubuhi wakuu. Nimewaletea mzigo huu kwenu Pikipiki TVS inauzwa, ina miezi 5 tu tangu inunuliwe. Ni yakwangu mwenyewe haijatumika sana. Model: TVS 125 Plate number: DQF Bei yake: 2,000,000 Fixed Nicheki WhatsApp: 0683535699 NB: Nimekosea kwenye headline siyo Boxer ni TVS
  18. Ulongupanjala

    Usajili wa luku mpya

    Habari za leo Watanzania? Nilifungiwa mita ya umeme LUKU mpya takribani mwezi mmoja sasa. Umeme uliwekwa units chache sana na tangu tarehe 05 Aprili 2024 nawasiliana na TANESCO makao makuu kuhusu suala hili na mara zote husema idara husika inalifanyia kazi suala langu. Naomba kuuliza kwenu...
  19. K

    INAUZWA Safe Box zinauzwa Mpya kabisa. Bei 750,000/=

    Safe box zinauzwa mpya kilo 120 kwa matumizi ya ofisi, mawakala, majumbani, n.k Wasiliana nasi 0712347749 Unaweza kufungulia kwa password za namba utakazo weza kuweka unazo zihitaji. Key zipo 4 Alarm sound Brand New Bei 750,000/=
Back
Top Bottom