uenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Joseph Mbilinyi arejesha Fomu ya kugombea Uenyekiti Kanda ya Nyasa, Asindikizwa na William Mungai

    Bwana Sugu ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , leo Amerejesha fomu ya kuomba uenyekiti wa Kanda ya Nyasa. Bilionea huyo amesindikizwa na Umati wa Matajiri wa Kanda hiyo kutoka Kyela, Mbeya yenyewe, Njombe na Iringa. Hali ilikuwa hivi .
  2. Uchumi TV

    Pambalu na Polisi ana kwa ana wakati akichukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Victoria

    Polisi wamelazimika kufika zilipo ofisi za chadema mjini Bukoba baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa vijana Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Pambalu kwenda kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo akiwa na msafara wa boda boda. hata hivyo polisi walipofika katika eneo hilo walioneka na...
  3. Erythrocyte

    Rose Mayemba aomba tena Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Njombe

    Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe anayemaliza muda wake , Kamanda kabisa Rose Mayemba , ambaye ametajwa kuinyoosha ccm katika uongozi wake Mkoani humo , huku akiisambaza Chadema hadi kwenye maeneo ambayo awali yaliamini kwamba CCM ni dini , ameomba tena nafasi ya uenyekiti wa Chadema Mkoani...
  4. I

    Mbowe haoneshi dalili ya kung'atuka licha ya kuwa mwenyekiti kwa miaka mingi CHADEMA

    Na Nulphin Charles Heche, Mtwara Katika hali ya kushangaza Freeman Mbowe ameonyesha nia ya kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA licha ya kuongoza kwa zaidi ya Miaka 20. Wanachama wengi wanaonekana kumchoka kutokana na tabia yake ya ubadhirifu wa mali za chama kwa madai ya kukidai chama pesa...
  5. happyxxx

    Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada. Haiwezekani mtetezi wa...
  6. F

    Mbowe usifanye kosa la kuachia Uenyekiti CHADEMA kabla ya 2030 vinginevyo tutarudi miaka ile myeusi (1995)

    Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030. CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na...
  7. Roving Journalist

    Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti Vijana ACT - Wazalendo

    Mdahalo wa Wagombea wa Uenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa kwa Chama cha ACT Wazalendo kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema, leo Februari 27, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=32rMuLtDJG0
  8. Lusungo

    Tetesi: Ni kweli Jakaya Kikwete anagombea uenyekiti wa kamisheni ya AU?

    Ndugu habari za muda huu, naomba kuuliza kwa wadau mbali mbali na hata serikalini kama inawezekana tupewe majibu kabla sijatoa ya moyoni. Kuna tetesi huko huko duniani nazisikia naomba uthibisho wake maana kuuliza si ujinga. Je, ni kweli mswahili wa msoga aliyepata kuwa Rais wa Tanzania kwa...
  9. Suley2019

    Janeth Rithe ajitosa Uenyekiti Ngome ya Wanawake ACT Wazalendo

    Janeth Rithe amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa ngome ya wanawake ya chama cha ACT- Wazalendo, huku akianika vipaumbele vyake 10 atakavyovitekeleza endapo atafanikiwa kuchaguliwa Machi 2, 2024. Miongoni mwa vipaumbele hivyo ni kuhakikisha ngome ya wanawake inakuwa muundo nchi nzima kwa...
  10. ChoiceVariable

    Sabaya Senior (Loy Sabaya) apata Ushindi wa Kishindo Uenyekiti CCM Arusha

    Usiyempenda kaja. --- Mkutano Mkuu maalum wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, umemchagua Loy Thomas Sabaya, kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoani humo. Sabaya ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi hiyo baada ya kupata kura...
  11. B

    CCM yateua Wagombea katika ngazi ya Mkoa na Wilaya. Baba wa Sabaya (aliyekuwa DC Hai), ateuliwa kugombea Arusha

    Chama cha Mapinduzi kimefanya Kikao cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo pamoja na mambo mengine, Kikao hicho kilijadili hali ya Kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama Aidha, kimefanya uteuzi wa Mwisho wa Wagombea wa nafasi za Uongozi ndani ya Chama kwa ngazi ya Mkoa na Wilaya ili...
  12. Fantastic Beast

    Makonda anavyoufanya Uenezi kama Urais, Uenyekiti

    Mkutano wa hadhara upo Geita, mhutubiaji mkuu ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda. Mara,Makonda anaagiza Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, apigiwe simu. Halafu, Makonda mwenyewe ndiye anapiga Mavunde ameshapatikana, simu inapokelewa. Makonda anamwambia Mavunde: "Nakupa...
  13. Wadiz

    Kwa asili kuna ishara Tundu Lissu ni Dikteta na Much know hafai kwenye nafasi ya Urais na Uenyekiti

    Wasalaam Bazzukulu, Mkubali au mkatae ila ukweli usemwe Tunda Lissu ana asili ya umuch know na udictator, pia ni lopolopo sana, na ni mjuajj anaependa kuabudiwa na kusifiwa. Kwa sifa hizo mbovu hafai kuwa na cheo cha juu sana cha Urais na Uenyekiti wa Chama chake. Abaki tu na sifa za...
  14. Kichwamoto

    Ndani ya vyama vya kijamii kuna wenyewe sio uenyekiti wako au ukubwa wako utakaokupa nguvu ya usaliti

    Hello Bazzukulu, Kwenye jamii zetu kuna vyama vingi vya kijamii huanzishwa na watu kwa malengo ya kudumu. Ni vema ifahamike ukipewa nafasi ya uenyekiti au urais wa chama hicho cha kijamii tambua wenyewe wapo na usithubutu kupindisha malengo yako, hasa nyakati za kupewa dhamana kipindi cha...
  15. kmbwembwe

    MAONI: CCM wawe wanaangalia Rais gani wa kupewa uenyekiti wa chama chao

    Chama cha Mapinduzi hua wanajizimia taa na kuwa gizani mara kwa mara. Utaratibu wao wa kumteua Rais akitoka chama chao kuwa mwenyekiti wa chama chao safari hii wameikosea Demokrasia kwa kumchagua Samia kuwa Mwenyekiti. Kwa kawaida CCM wana utaratibu wa kidemokrasia kumchagua mgombea urais wa...
  16. chiembe

    James Mbowe ameonesha ana kipaji kikubwa cha uongozi, achukue fomu kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Nimefuatilia kwa karibu shughuli za kisiasa za ndugu James Mbowe. Nimeridhika kabisa anafaa kukamata nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Ni mwanamageuzi kindakindaki, amepikwa kisiasa akaiva, na amekuwa mstari wa mbele katika harakati za chama. Nashauri CHADEMA wafikirie kumpa Uenyekiti...
  17. Librarian 105

    Wanasimba wanatarajia nini chini ya uenyekiti wa Murtaza Ally Mangungu?

    Msimu mwingine bila kombe kwa wanasimba. Kebehi ya mtani ni: tayari ushindi wa SIMBA SC ni ahadi ya mwenyekiti wake kuifunga YANGA. Mindset ya mwenyekiti huyu ndo naihoji, kisha najiuliza, wanasimba wanatarajia nini msimu ujao chini ya uongozi wake?! Ni kuifunga tena YANGA au nini?
  18. BARD AI

    Uhuru Kenyatta afukuzwa Uenyekiti wa Chama cha Jubilee

    Uamuzi huo umefanywa na Upande wa chama hicho unaoongozwa na #KaniniKega baada ya Kikao kilichofanyika leo Mei 2, 2023 na kimemteua Mbunge, Sabina Chege kushika nafasi ya Mwenyekiti mpya. Kwa mujibu wa Kega ni kuwa uongozi wa Rais Mstaafu #UhuruKenyatta ulikoma Machi 2023 na hivyo Katiba...
  19. babu M

    UTEUZI: Antony Diallo, George Waitara wateuliwa Uenyekiti TANAPA na TFRA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) Anthony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania...
  20. Idugunde

    Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

    Hii ni kupigana midongo ya nguvu "Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?" 👇
Back
Top Bottom