haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Mke anahitajika haraka

    Mimi ni: Kijana: 35 Sija wahi kuoa: Sina mtoto: Mjasiria Mali: Nina shahada ya kwanza. Niko, Ilala, DSm. Sina kitambi , mrefu wa wastani. Dini : mkristo. Sifa za mke mtarajiwa Awe: Mzima wa afya. Na hofu ya Mungu. Na Elimu angalau ya kujua kusoma na kuandika au zaidi. Na kazi inayompatia...
  2. C

    Mafuta asili kwa ajili ya kukuza nywele kwa haraka

    Bonito Natural Oil ni Mafuta asili yenye mchanganyiko wa mimea na viungo mbalimbali kwa ajili ya kukuza na kuimarisha ukuaji wa nywele kwa haraka. Pia Bonito Natural Oil ni mafuta ambayo yanatengenezwa na process ya kuivishwa kwa kutumia mvuke (Double boiling) na kusindikwa kwa siku 28 ili...
  3. Hismastersvoice

    Serikali ondoeni haraka tozo hizi za matengenezo ya nyumba wakati huu wa mvua

    Yamenikuta najuta kuwa na kibanda, wiki iliyopita mvua ilinyesha usiku na kubomoa choo cha nyumba yangu cha mtindo wa pasipoti sasa hivi, asubuhi kulipokucha nikaenda kununua simenti na matofali na kuamua kukijenga upya, hamadi serikali ya mtaa kumbe nao wanajua watatupata, wakanidaka. Baada ya...
  4. H

    Kwa mafundi wa kupaua nahitaji msaada wa haraka

    Wanabodi Salaam, Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba, Nyumba ina urefu wa mita 11 na upana wa m 9. Baraza ya mbele na nyuma zina upana wa mita 2.2 na urefu...
  5. Pfizer

    Coffee table ya Milioni 3, sasa ipate kwa milioni 1 tu. Fanya haraka

    Wakuu, Wale watu Classic karibuni. Coffee table ya Milioni 3, ipate kwa milioni 1 tu. Piga simu haraka. Sasa hivi.. Hii ni offer. Mbezi beach Africana Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669. Mungu akupe nini?
  6. isaya febu

    Kwanini mtu mwenye kisukari kidonda chake hakiponi haraka?

    Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini mtu mwenye kisukari kidonda chake hakiponi haraka? JIBU: Kuna sababu kuu mbili za kisukari kuchelewesha kupona kwa vidonda: KWANZA: Viwango vya juu vya sukari kwenye damu. Viwango vya sukari kwenye damu vikiwa juu, vinaweza kuharibu mishipa ya damu na neva...
  7. Truth Bot AI

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu...
  8. GENTAMYCINE

    CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

    Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile. Lakini pia ni Uthibitisho usio na...
  9. A

    DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Utangulizi Mimi ni raia wa Tanzania, Mkristo kwa imani. Lakini nasikitishwa na kile kinachoendelea katika huduma ya Nabii wa Uongo anayejiita “Nabii Dominiki, Kiboko ya Wachawi”, mwenye Huduma yake DSM, WILAYA YA TEMEKE, BUZA – MTAA...
  10. A

    Serikali haraka fungeni mipaka chakula kisiuzwe nje, machafuko na migogoro ya kivita viwape ari hiyo

    Wakuu, Dunia ya leo ni migogoro na vita sehemu mbalimbali, hivo wakati huu wa mavuno mazao kama mchele, mahindi, maharagwe na nafaka nyingine haraka sana yazuiwe maana sio muda tutaanza kulia njaa. Nchi nyingi kwa sasa wamefunga mipaka yao hakuna chakula kutoka kwani usalama na utulivu wa...
  11. mugah di matheo

    Simba mnatutesa ila jipu la kuonekana haraka ni Benchika

    Huyu jamaa anadharau na kiburi bila sababu halafu hayuko flexible. Mfano mechi ya marudiano na Al Ahly ilikuwa na haja gani kuanza na false namba 9? Mechi za ndani ugenini Kama ya Ihefu na mashujaa hakujua plan ilitakiwaje? Anarudi na plani zake zilizofeli kwenye mechi iliopita? Sub zake ni za...
  12. Sir John Roberts

    Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

    Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine. Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi...
  13. 2sexy

    Msaada wa haraka unahitajika kuhusu ujauzito wangu

    Poleni na mihangaiko ya mchana kutwa Ndugu Madaktari wa JF na wadau wote wa afya naomba msaada wenu. Mimi ni mama mjamzito mimba yangu ina wiki 35. Katika umri huu nimepima utra sound mtoto ana uzito wa kilo 2. 71kg Swali langu kitu gani naweza kufanya kwa muda huu mchache uliobaki kuongeza...
  14. Z

    Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC. SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo. Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka...
  15. Vichekesho

    Viongozi wa Yanga Fanyeni hivi Haraka iwezekanavyo Lazima Yanga icheze Nusu Fainali

    Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele amesema Yanga inaweza kukata rufaa CAF kupitia kifungu cha sheria za mpira za CAF namba XVI kifungu namba 3 kupinga kitendo cha kukataliwa goli alilofunga Aziz Ki. Masele ameshauri Viongozi wa...
  16. U

    Nimepigwa hard disk speed ni ndogo sana, tusiwe na haraka tuchukue muda kuzikagua kuepuka huu upigaji

    UPDATE / MREJESHO: Tatizo lipo kwenye case ni usb 2.0, nimetesti kuiunganisha moja kwa moja kwenye desktop speed ni nzuri MB 50 kwa sekunde, chief mkwawa kanishauri ninunue case ya usb 3.0 model ni HTS545032A7E380 Nilienda kununua hard disk ya GB 320 kwa elf 25 maalum kwajili ya kuifanya...
  17. plus_ix

    Je, ni kweli kutokuosha nywele kunachangia nywele kukua kwa haraka?

    Bila kupoteza muda, habarini wana JF. Siku za hivi karibuni niliamua kuanza kufuga nywele, sasa kila mtu ananiambia ukitaka nywele zikue naambiwa niache kuziosha kabisa kwa maji. Nimefatilia kwa watu hasa jinsia KE naona nao wananiambia hivo hivo. Je, kuacha kuosha nywele ili kufanya zikue sio...
Back
Top Bottom