kupiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The patriot man

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Wakuu kwema? Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana. "sina hisia na wewe" ".sijawahi kukupenda" "Nina bwana angu nampenda" "Siku uliyonitongoza sio kwamba nilikua Sina mtu na mpaka Sasa hivi Niko naye"...
  2. G

    Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu, Ukiweka pesa...
  3. Lycaon pictus

    Kuna msanii mkali wa kupiga live kama Frida Amani?

    Hii live show ya Frida Amani ni ya level za kimataifa sana. Msanii gani mwingine anaweza kupiga live kwa level hizi? https://youtu.be/vamUjgmitOo?si=lkBx8muRD9w-b2ek
  4. Richard

    Vietnam waonyesha njia, fisadi wa kike ahukumiwa kifo baada ya kupiga dola bilioni 12.5 ambazo ni asilimia 3 ya pato la Taifa

    Mwanamke mmoja wa Vietnam mfanyabiashara tajiri wa kutupwa anefanya biashara ya kuuza nyumba na majengo (Estate and property Developer) amehukumiwa kifo baada ya kupiga fedha kiasi cha dola bilioni 12.5 Katika kesi kubwa ya ufisadi na upigaji ilomkabili mwanamke huyo Truong My Lan, imedaiwa...
  5. ndege JOHN

    Yahusu kupiga search suruali pale unaponasa

    Pasaka na eid wake zimepita kibabe na kutuachia majeraha mifukoni kila unayethubutu kumpiga kizinga anakutolea nje visingizio vikiwa ni ada,kuumwa na mvua. Bado una nafasi ebu nenda kafanye ukaguzi kwenye mikoba na mabegi na nguo zako huenda ukabahatika Kama ambavyo mimi leo Mungu hajanitupa...
  6. Msanii

    Ripoti ya CAG. Tunaishia kupiga kelele na hatuna la kuwafanya. Kuna ukweli...

    Kibonzo cha msanii Massoud Kipanya kinafumbua fumbo lisilojadilika. Nani mwenye uthubutu? Hata Rais mwenyewe anaonekana kuvuta miguu kwenye kuwachukulia hatua wabadhirifu waliotajwa kuhusika na ukwapuaji wa fedha za umma. Tutafakari pamoja..... Je, tunajadili kama wananchi kwa lengo gani...
  7. MK254

    Siri yafichuka, Israel imepania kupiga vinu vya nyuklia iwapo Iran itafanya chochote

    Israel walipiga ubalozi wakijua Iran itaingia kwenye mtego wa kujaribu kulipa kisasi, ambapo hao Israel walitaka watumie fursa hiyo kutatua issue ya Iran kuendelea kuzalisha nyuklia, walipania kupiga vinu vyote hapo Iran. Iran washashtukia mchezo hivyo wameufyata maana hamna namna...
  8. Nyendo

    Mara yako ya mwisho kupiga kura ilikuwa mwaka gani? Kwanini?

    Kuna watu wamepoteza ari ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu. Wapo wanaosema waliacha kwa kuwa hawana imani kama kura wanazipiga ndizo zinaamua mshindi, wanaona kama uchaguzi ni kiini macho tu hivyo wamekata tamaa ya kushiriki. Wengine wakidai wanajichosha...
  9. R

    Wizara ya Mambo ya Ndani badikikeni; tumieni mifumo ya TEHAMA acheni kupiga fedha kwa kutufolenisha kusajili taasisi na magroup ya whatsApp

    Tanzania sijui ni nani amewaloga watumishi wa umma. Kila wakikaa ofisini wanatafuta namna ya kuwafanya watu wasiende kuzalisha badala yake wakapange foleni kubishana na watumishi husika. Tanzania watu wanaopanga kujikwamua kiuchumi lazima wanaripoti ofisi zifautazo kwa lengo la kuendesha...
  10. MK254

    Wakamatwa kwenye msikiti wa Al-Aqsa kwa kupiga makelele ya kusifu HAMAS

    Israel wako makini sana, yaani fanya ibada na matambiko yako kwa amani, ukikiuka kidogo unatiwa ndani..... Israel Police arrested four residents of east Jerusalem and four residents of northern Israel for chanting in support of Hamas and inciting violence on the Temple Mount during dawn prayers...
  11. Chizi Maarifa

    Kuna uhuni Mkubwa, Dawa ya kumsaidia mtu kuacha kupiga Punyeto? imekaaje?

    Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu 1. Punyeto ni ugonjwa gani? 2. Nini kinasababisha mtu aoige punyeto? 3. Inaenda kutibu nini hiyo dawa? Kuna wauzaji wa dawa hizi za supplement wana...
  12. PureView zeiss

    Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

    Ripoti za kiuchunguzi za CIA zinaeleza kuwa Iran inaendelea kujiandaa na mashambulizi ya drones ndani ya Israel hasa kwenye maeneo yake ya viwanja vya ndege na kambi za jeshi... Wakati haya yakijiri Huko Iran na Israel nao kupitia waziri wa ulinzi bwana GALLANT amesema kuwa "vikosi vyetu vipo...
  13. Webabu

    Makundi saba Gaza bado yaendeleza vita. Israel yajikuta ikilazimika kurudia kupigana maeneo yale yale iliyoyabomoa mwanzo

    Makombora kadhaa yamerushwa nchini Israel kutoka Gaza katika namna inayoiumiza kichwa mbabe huyo wa dunia. Maeneo yaliyopigwa ikiwa ni karibu ya mwezi wa sita tangu vita vianze ni pamoja na Ashdod na Isderot. Habari hizo kutoka kwa kundi la Alqassam zimethibitishwa na Israel yenyewe pamoja na...
  14. green rajab

    Urusi yatangaza Rasmi kupiga hatua zaidi kuisadia Palestine

    Baada ya shambulio la kigaidi liilofanywa huko Moscow na Magaidi wa Ukraine, Israel na Marekani, Sasa Rasmi Urusi inaunga Palestine na kuanza kutoa msaada wa kila aina.... ngoja tuone kifuatacho. 🇷🇺🇵🇸 President Putin says that Russia will take "new steps" to support Palestine.
  15. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Msaada Tafadhali: AC ya Toyota Alphard kupiga kelele

    Nimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia. Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
  16. M

    Instagram inatajirisha sana wadada wajanja. kwa biashara ya Niagize China nikununulie mzigo wako. Wadada wa 2000 wamepindua meza ya kupiga hela

    Habari wadau. ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako. Instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao. Mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo...
  17. M

    CWT cha sasa ni mchwa unaotafuna faida iliyotengenezwa na CWT ya Gratian Mkoba. Walimu waamke na kupiga kelele juu ya unyonyaji huu mkubwa

    Chama cha walimu kilianza miaka ya 2000 kikiongozwa na baadhi ya viongozi akiwemo Magreth Sitta aliyepokelewa kijiti hicho na ndugu Gratian Mkoba. Ni katika kipindi cha miaka ya 2010's ndipo chama kilianza kuweka mipango na dira ya maendeleo ya chama kwa kutumia michango ya walimu kama ilivyo...
  18. Mivyumba

    Sikio kupiga kelele

    Habari wakuu! Hivi karibuni nimeanza kusikia Kelele kwenye Sikio Langu la Kushoto kama Mdudu au filimbi inalia Kwa Mbali. Hapo awali nilihisi ni wale wadudu wanaopiga kelele ardhini, lakini nilivyofuatilia nikagundua ni Sikio La Kushoto linafanya hivyo na Wakati Mwingine lile la kulia mara...
  19. SAYVILLE

    Tunajengaje "Utalii wa Michezo" kwa kupiga marufuku na kutishia mashabiki wasisapoti timu fulani?

    Nimekumbuka hapo katikati hasa kipindi "African Football League" inakaribia kuzinduliwa, Serikali ilikuwa inaongelea umuhimu wa kuwekeza kwenye "Sports Tourism" au "Utalii wa Michezo". Tafsiri ya haraka ya "Utalii wa Michezo" maana yake ni "kuandaa matukio ya kimichezo ambayo yatavutia watu...
Back
Top Bottom