toyota

  1. salehe magari mazuri

    Car4Sale Toyota Vellfire Onsale

    ON SALE 🚘🚘 TOYOTA VELLFIRE (#EAC). Price 22.7ml 0768160670 Colour* BLACK✓ Year 2009 Engine Capacity 2360. Engine✅ A/C✅ Gear box✅ Low MILEAGE 0768160670 Side mirror 🪞 indicator ✓ Forg lights Good condition Exchange Allowed
  2. Kiboko ya Jiwe

    Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

    Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA. Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA. Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine? Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi...
  3. darautobroker

    Car4Sale Toyota Harrier ya 2021 inauzwa tsh milioni 120

    Bei/Price🏷️: TSH 120M Call 📞0747 999 927 TOYOTA HARRIER Year: 2021 Engine: 1990Cc Mileage: 19,498 Transmission: AUTO ✅All Duty Paid ✅Free Registration ✅Exchange Possible
  4. N

    Car4Sale Toyota Hilux 2018, Tsh. 55M

    Hii ni mpaka Dar Port. Ushuru unalipia wewe.
  5. P

    Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND CRUISER

    NAOMBA USHAURI KUHUSU TOYOTA LAND CRUISER ZX Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND CRUISER ZX or VX series 202. Ipi bora na bei zake used zikoje kulingana na mileage za around 100,000. Naomba ushauri pia kuhusu mafuta na spare zake. Shukrani.
  6. hp4510

    Naitaji Toyota Crown Athlet ya mwaka 2011

    Jaman naitaji Toyota crown athlet ya mwaka 2011 Iwe namba E Ikiwa Rangi nyeupe au black no problem Price yangu ni milion Tisa Niko dar es salaam Kama kuna mtu anayo please ndm
  7. Afrolink-Tz Consult Ltd

    Car4Sale Toyota Harrirer inauzwa milion 222

    Habari zenu Nauza Toyota Harrier yenye maelezo haya: 1. Jina: Toyota Harrier 2. Modeli na: MCU30 3. Aina ya bodi: Station wagon 4. Uwezo wa injini: 2490cc 5. Mwaka wa kuundwa: 2003 6. Rangi: Nyeupe ya kufififia 7. Saizi ya rims: 20' ya aluminiam na matairi yamefungwa mapya mwezi Disemba, 2023...
  8. N

    Nahitaji toyota aqua au prius

    Nahitaji Either Prius au Aqua moja. Anayeuza anicheki. iwe kwenye hali nzuri. na usajili uwe na E. offa 15m inbox
  9. E

    Car4Sale Nauza Toyota vitz new model

    Nauza toyota vitz new model kalii mnoo🔥🔥🔥ipo Dar es salaam cc 1290,push to start bei 9m✅Karibuni
  10. MEK_TZ

    Natafuta Toyota IST ya kununua

    Habari wakuu. Mwenye gari IST anaye uza tafadhari tuwasiliane.
  11. mfetere

    Car4Sale Toyota Kluger for sale

    TOYOTA KLUGER Mil 20.5 NATOA BOX 5 INA SUNROOF MODEL ENGINE 2AZ CC 2360 KM.91930 FULL DOCUMENTS NEW TIRES COLOR BLACK LOCATION DAR ES SALAAM 0714787795
  12. L

    Car4Sale Toyota Brevis 2002 silver inauzwa 5.8M

    Habarini Wana JF, Mimi naitwa dalali kijana leo nimekuja na offer kwa boss wangu.Toyota Brevis 2002 5.8M tu. kwa mawasiliano piga 0695022051
  13. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Msaada Tafadhali: AC ya Toyota Alphard kupiga kelele

    Nimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia. Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
  14. J

    Toyota Landcruiser hardtop ya mwaka 2015 inauzwa

    👉2015 TOYOTA LANDCRUISER HARDTOP 🚂ENGINE TYPE:-1HZ DIESEL 🦜BEI 140 MILLIONI 👉IMETEMBEA=80,000 KM 👉GARI ILINUNULIWA MPYAA ZERO KM 👉LOCATION:-DODOMA 👉TUWASILIANE 📞 +255622599002 DODOMA
  15. passion_amo1

    Nissan TIIDA namba EFU

    Habari za uzima? Nissan TIDA NAMBA EFU MILIONI 16 Gari bado ni mpya kabisa. Kwa mawasiliano zaidi karibu PM.
  16. M

    Car4Sale Toyota Raum old inauzwa 8ml

    Nauza Toyota Raum old kwa 8ml. Gari liko Tabata liko vizuri sana mkoa nia ujaza full tank zako nakutembea. Mawasiliano 0758 350 943
  17. Minjingu Jingu

    Msaada jamani hizi gari 3 Mazda CX5, Mitsubish Outlander SportsstyleEditon, Toyota Vanguard

    Naombeni msaada mwenye uzoefu au ufahamu wa hayo magari matatu lipi ni bora katika vipengele vya 1. Utumiaji mafuta 2. uimara 3. Speed 4. Kupatikana vipuri 5. Ukisasa zaidi 6. Mwonekano mzuri. 7. Bei zake sokoni Zote zikiwa za mwaka unaofanana au kutofautiana kidogo tu.
  18. R

    Natafuta Toyota Landcruiser - Bajeti milioni 40

    Habari wakuu.. Natafuta Toyota landcruiser station wagon au pickup kwa ajili ya kuifanyia conversion kuwa safari car ya kubeba watalii. Tuma picha za nje, ndani na engine pamoja na details za gari kwa whatsapp 0656388678. Iwe model ya kuanzia mwaka 2000 na kuendelea. Bei isizidi milioni 40...
  19. vumiliag

    Nichukue gari ipi kati ya Toyota Voltz, Harrier, Rav 4 old na Premio?

    Habari zenu wakuu Nmejichanga changa nikapata milion 12 za kuvuta kausafiri, nategemea kuvuta kutoka mkononi mwa mtu. Sina hela yakuongezea kuagiza gari mpya sina uwezo huo. ili niondokane na kero za usafiri wetu wa Dar es Salaam wa daladala. Naomba mnishauri kati ya gari hizi ipi itanifaa...
Back
Top Bottom